Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,463
- 8,281
Alama gani zaidi ya kuua wasio na hatia na kutuibia fedha zetu? Misukule nyinyi tu ndiyo mnaona muziki mrefu lakini hakuna cha ajabuUlitaka afanye miradi mingapi mikubwa kwa wakati mmoja.
Hiyo aliyoikuta Bi Tozo kumalizia tu yeye mwenye anakiri sio shughuli ndogo.
Usisahau enzi za mwamba pamoja ni hiyo miradi mikubwa ni yeye ndie alieanza kuzipa uhai bandari za Tanga na Mtwara; nyie leo mkiona meli kubwa zinatia nanga huko mnakimbilia Twitter kuandika mama anaupiga mwingi.
Bado meli kubwa za maziwa alizo commission zijengwe. Ndugu shughuli ya Magufuli aikuwa ndogo. Waswahili wana msemo sawa “kusoma hujui, picha nayo uoni” kutokuona alama za Magufuli ni kujipofusha tu. Shida zaidi ni pale hizo denial zinapowafanya mpaka ile miradi yake aliyoicha leo mumpe mama yenu, mpaka yeye mwenyewe anaona aibu na kuwashangaa.