Bukoba nakupinga,hawana hata dtandt ya kueleweka bora shy town kwa kanda ya ziwa
 
A' ukute nabishana na mtu wa Kamsamba huko yeye kasimuliwa na shemeji yake aliifika Tunduma tu! Ninapoteza mdaa. Utake usitake Kahama ni next level!

Hiyo Tunduma linganisha na Singida au Makambako hukooo.
Jibu swali usitafute kichaka Cha kujificha..

Nataka utaje kitu ambacho Kahama inaizidi Tunduma,mambo ya kamsamba sijui shinji sio hoja ya kukusaidia
 
Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.

Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama vyuo vikuu, viwanda, hospital, na kupima na kupanga mji mpya wa kisasa kama inavyofanyika Magufuli City Dodoma, ilituwe na miji ya kisasa inayovutia na kukidhi mahitaji ya wananchi.

Halikadhalika yafanyike miji ya Morogoro, Mtwara, Songea, Kigoma, Moshi, Sumbawanga na Kahama, pamoja na miji yenye idadi kubwa ya watu. Miji ipangwe na ijengwe kisasa atilist kila kanda tuwe na majiji walau mawili.

Hii itasaidia sana kueneza maendeleo makubwa katika pembe zote za nchi, na itapunguza watu kukimbilia Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha. Hivyo selikali itahudumia watu kirahisi wakiwa hukohuko kwenye miji yao.
Ifike KIPINDI kwa kweli
 
Yangu Uhuru watu Wana waza dar
Screenshot_2023-02-20-16-25-57-11_a23b203fd3aafc6dcb84e438dda678b6.jpg
 
Bukoba mbona ishaanza kuandaliwa...kuna vyuo vikuu viwili vinajengwa UDSM tawi la bukoba na campus ya chuo cha Mandela....na hapo juzi kumefunguliwa chuo cha veta...

Jana wamefungua taa za kuongoza magari na zile za kuwasha mwanga...

Tender zimetangazwa za ujenzi wa stendi kuu na soko mwezi march ujenzi wa stendi unaanza...

Meli mv mwanza na mv Victoria zinaenda bukoba na mambo kibao tu
Jitahidi utembee mini mingi zaidi
 
Yani Bukoba kulikua hakuna mataa ya kuongozea magari mpaka leo?
Inazidiwa mpaka na Musoma?
Kwan musoma kuna uwanja wa ndege? Kuna uwanja wa mpira wa nyasi bandia na wenye taa za usiku kama kaitaba, musoma kuna bandari yoyote inayofunction kama zile mbili za bukoba na kemondo, Angalia idadi ya majengo kati ya musoma na bukoba...musoma wanafeli wapi...musoma kuna chuo kikuu chochote kinachojengwa?

Maendeleo ni hatua na vipaumbele...kila mji una vipaumbele vyake..hats kuweka hayo mataa ya kuongoza magari sehemu zaidi ya tano mjini bukoba haikuwa lazima kiviile japo inasaidia kuongeza organisation ya mji....
 
Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.

Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama vyuo vikuu, viwanda, hospital, na kupima na kupanga mji mpya wa kisasa kama inavyofanyika Magufuli City Dodoma, ilituwe na miji ya kisasa inayovutia na kukidhi mahitaji ya wananchi.

Halikadhalika yafanyike miji ya Morogoro, Mtwara, Songea, Kigoma, Moshi, Sumbawanga na Kahama, pamoja na miji yenye idadi kubwa ya watu. Miji ipangwe na ijengwe kisasa atilist kila kanda tuwe na majiji walau mawili.

Hii itasaidia sana kueneza maendeleo makubwa katika pembe zote za nchi, na itapunguza watu kukimbilia Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha. Hivyo selikali itahudumia watu kirahisi wakiwa hukohuko kwenye miji yao.
I cant wait to be the first Mayor of Ifakara City Council.
 
Sidhan kama watu wa Moshi wanapendelea kuwa Jiji. Wao wanchofanya ni kwenda kushika fursa za wajinga wanaofurahia miji yao kuitwa majiji huku wakiwa hawana kitu wanaangalia nyumba na miradi ya wanaume tu ikiendelea.

Kama nchi ya Congo tu. Unafurahia kuwa una nchi tajir lakin utajir wote unachukuliwa na wanaume. Mnabaki kucheza mduara tu. Akili za kiafrica hiz bure kabisa.
Akili zako kisoda chenye mkojo, unadhani Congo ni pale Goma na Kivu kaskazini.
Tembea uone dogolas
 
Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.

Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama vyuo vikuu, viwanda, hospital, na kupima na kupanga mji mpya wa kisasa kama inavyofanyika Magufuli City Dodoma, ilituwe na miji ya kisasa inayovutia na kukidhi mahitaji ya wananchi.

Halikadhalika yafanyike miji ya Morogoro, Mtwara, Songea, Kigoma, Moshi, Sumbawanga na Kahama, pamoja na miji yenye idadi kubwa ya watu. Miji ipangwe na ijengwe kisasa atilist kila kanda tuwe na majiji walau mawili.

Hii itasaidia sana kueneza maendeleo makubwa katika pembe zote za nchi, na itapunguza watu kukimbilia Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha. Hivyo selikali itahudumia watu kirahisi wakiwa hukohuko kwenye miji yao.
Binafsi sipendekezi iwe hivyo bali natamn kila kanda iwe na jiji moja la kisasa kisha sehem zingine ziwe mahsus kwa uzalishaji hasa kilimo na ufugaji
 
Bukoba nakupinga,hawana hata dtandt ya kueleweka bora shy town kwa kanda ya ziwa
Hata kuandika hujui...ndo maana unafikiri stendi nzr ndo kuwa mji...kwan Arusha kuna stendi gani pale pamoja na kuwa jiji...vip Nairobi? Ushawahi ona stendi ya maana kule zaidi ya magari kupaki barabarani...je Nairobi ivuliwe hadhi ya jiji....

Ok shinyanga kuna stendi ya mabasi fine...
Bukoba kuna Uwanja mkubwa wa ndege, Majengo mengi ya ghorofa kuliko shy, uwanja wa mpira wa kisasa, bandari kubwa mbili, maegesho makubwa ya maroli bila kusahau mtandao mkubwa wa barabara kuliko shinyanga..

Miji ni vipaumbele.....ngoja waimalize ile stendi ya kyakairabwa sijui mtasema nini tena kuhusu bk
 
Akili zako kisoda chenye mkojo, unadhani Congo ni pale Goma na Kivu kaskazini.
Tembea uone dogolas
Katika africa kama nimebakisha nchi sijakanyaga hazizid 10. Hiv ninavyoongea hapa nipo Windhoek Chief. Congo kama congo nyama karibu yote ipo mashariki yaan North Kivu na south mpaka Bukavu na jimbo la Katanga na wajanja wa Congo ni wakasai nina duka Lubumbashi mimi so naelewa ninachoongea ukitaka nikufungukie zaid njoo inbobo. Nilichokuwa nijaribu kumuelewesha huyo kijana anatakiwa ajue Jiji kuitwa Jiji hakumnufaish kwa chochote kama yeye asipoendana na mdundo. Kukaa hapo na kusema wachagga cjui ni wachawi cjui matapeli hakuwazuii kuendelea. Ni kama wamalay walikuwa watu wa stor wachina wakachukua fursa zote mpaka serikali ikakaa nao ndio kukawepo mwanya wa kupenya. Au wazulu story nyingi kaz hawafany anatoka mwafrica mmoja hapa akiendelea analalamika wamekuja kuchukua kaz zetu.
 
Back
Top Bottom