Recent content by Mzee Abaya

  1. Mzee Abaya

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    "Attention seeker" vipi mmeo amekuruhusu kupost? We si ulishaaga humu JF? 😀😃😄😁😆😅🤣😂
  2. Mzee Abaya

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Dah, hata mimi mwasibu wenu nwenye CPA OKW BOBAN SUNZU ni comment kwa ID yangu hii nyingine.
  3. Mzee Abaya

    Wenyeji Dodoma tar.16 April 2024 nitakuwa mgeni wenu

    Kumbe wewe ndio tuliokutumia barua ya mualiko na huwa unatukanaga serikali humu. Leo tuna ucancel mualiko wako.
  4. Mzee Abaya

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Kasema huyo wa kwenye DP yako ndio wewe. 😀😃😄😁😆
  5. Mzee Abaya

    Simba mnatutesa ila jipu la kuonekana haraka ni Benchika

    Hahaaaaa, walisahau kujenga timu wakawa wanaimba Ubuntu Botha
  6. Mzee Abaya

    Azimu Dewji ndo wanahujumu simba, Ilisema Kocha aliyepita hakufaa, sasa yako wapi?

    Kocha huyo hapo kawa mwana jangwani a.k.a mwananchi.
  7. Mzee Abaya

    FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

    Inahitajika mshikamane sasa na kuwa wamoja kama timu. Muache chokochoko na maneno maneno.
  8. Mzee Abaya

    FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

    C:C Mshana Jr bila kusahau mwasibu wetu OKW BOBAN SUNZU
  9. Mzee Abaya

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Yeye anasema hayo kama nani sasa? Mwambieni atulize mshono hapo Arusha.
Back
Top Bottom