FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

WaPuuxi WANAKAA kupigaaa Dili za wachezajii na limewaajaaa dewji kawaachia mpambanr na TIMU yenuuuu dadaa


juzii magorii kaulizwa nasikia wachezajii wanalalamika dewji ayuko karibu na TIMU kama mnampiga afanyajee...
Kigwangwala aichukue timu sasa... Mpuuzi yule.
Yeye ndo kaifikisha Simba hapa..
Alimkalia kooni sana Mo.
 
Benchika amekuwa mpweke sana! Sijui mzee wa watu anawaza nini? Mpira umeisha yeye ameamua kubaki uwanjani!
 

Attachments

  • Screenshot_20240414-064151_Opera News.jpg
    Screenshot_20240414-064151_Opera News.jpg
    423.1 KB · Views: 2
Wanacheza gemu ya leo akili yao ipo kwenda kuzuia goli mbili tarehe 20 wakifungwa moja na Aziz Key watatoka wanashangilia kweli kwa kusema mnaona hazijafika tano tena Timu ina ukuta wa Berlin hawa jamaa siku tatu wanasahau yote...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom