Kwani huyo "dada wa Marekani", yeye hakuwahi kuwa chawa?
Ni kama nakumbuka bango la mapokezi ya huyo mama katika ziara yake ya kwanza huko ughaibuni la 'Diaspora' wa huko likiongozwa na huyo huyo Binti...

Pengine hao chawa unaowahimiza hapa kujibu mapigo wanaelewana na hao wenzao wanaoshambulia sasa palipo na ukweli wanaoufahamu wote. Sasa hawa watajibu kitu gani dhidi ya hao wenzao?
 
IMG-20240409-WA0000.jpg
 
Wanamfanyia bullying na blackmail Rais Samia...

Nape yuko kimya haya yote sababu amempa nafasi Makonda
makonda atasababisha maza avuliwe nguo, maza angejiweka mbali na makonda, makonda hapendwi jamani, na dada wa taifa na makonda ni paka na panya, wale maadui wa maza wa kimyakimya watampitishia mange kila aina ya uchafu kuhusu maza, ningekuwa maza ningemmaliza mtu kimyakimya maana uwezo huo anao.
 
Kama wanaweza kumvua nguo kisa Makonda huoni wanaweza kumvua nguo wakati wowote wakitaka?

Huoni wanamuweka Rais kama mateka wao
 
Chawa wanafugwa na kuelekezwa.Wao sio wajinga ni maskini tu na njaa zao,wanajua kupambana na anayepambana na taasisi ya Urais ni kujimaliza. Wanajipanga ila bado ngumu sana wao kujaribu.
 
Back
Top Bottom