Wenyeji Dodoma tar.16 April 2024 nitakuwa mgeni wenu

Panctuality

JF-Expert Member
Jun 11, 2019
729
1,048
Habarini wakuu

Kesho kutwa jioni kama sio alasiri (16 April 2024) nitakuwa Dodoma mjini nikitokea mkoani Mbeya safari ikianzia wilayani Chunya kiofisi zaidi,kwa wenyeji wa maeneo hayo nitafurahi Sana tukijuana na kupeana ABC baada ya pilikapilika zote na nitakuwepo hapo Jumanne jioni mpaka jumamosi asubuhi.

Natamani Sana kushare Nanyi Mambo mbalimbali nyakati za jioni,may be one day nitakuwa attracted kuishi hapo kwa kuwa ridhiki popote na Tanzania yetu sote. Kwa offline contact tutafutane Pm kushare mawasiliano , hata wa hapa hapa tutafutane pia japo ukitaka tujuane kiuwazi,binafsi nitaweka mipaka katika wazi. Karibuni wenyeji wangu
 
Kumbe wewe ndio tuliokutumia barua ya mualiko na huwa unatukanaga serikali humu. Leo tuna ucancel mualiko wako.
 
Back
Top Bottom