Recent content by Muhwelo

  1. M

    Revealing: Hawa ni baadhi ya wanufaika wa Escrow kupitia kwa Rugemalira (Clue 2)

    Bila kukumbwa na matukio ya kifisadi kama escrow na mengineyo, watanzania hatuwezi kuamka kisiasa. Hata hivyo, tunahitaji matukio makubwa zaidi. CCM oyee!
  2. M

    Ajali ya Gari Mbozi-Mbeya

    Aliyekufa ni dent wa kike. Walikuwa wakitoka Nalyelye.
  3. M

    Ajali ya Gari Mbozi-Mbeya

    Sorry, mkuu!
  4. M

    Ajali ya Gari Mbozi-Mbeya

    Cha kushangaza zaidi ni kwamba malori ndiyo hubeba abiria kutoka vijijini kuja mjini Vwawa.
  5. M

    Ajali ya Gari Mbozi-Mbeya

    Jana jioni, tarehe 30/08/2014, mnamo saa moja, kulitokea ajali mbaya ya lori aina ya Fuso lililoangukia mtoni katika kijiji cha Nyimbili baada ya kushindwa kupanda mwinuko. Katika ajali hiyo, mtu mmoja alikufa palepale na wengine takribani hamsini kujeruhiwa. Majeruhi wote walipelekwa...
  6. M

    Kiingereza Cha Mama Anna Makinda.....

    For a poor country like Tanzania, knowing English language is inevitable in order to communicate with our donors-the masters. We don't have stable economy and leadership then, our Big Shots can't avoid asking for assistance from Whites. Therefore, let's not create negativity against English...
  7. M

    Tatizo CHADEMA ni Uenyekiti: Kweli Humweka Mtu Huru!

    Nakuunga mguu. Chadema kitasambaratika kwa sababu ya uenyekiti. Hivi kuna demokrasia ya kweli Chadema? Chadema ni taasisi binafsi au taasisi ya umma?
  8. M

    Zitto matatani tena

    Ukimkana Zitto, umeukana uzalendo wako. Siasa ni mchezo mchafu. Madudu ya nchi hii huonekana kwa jicho pevu. Anayeitwa msaliti Tanzania, ndiye msemakweli kwa critical thinkers. Think Big to Get Big results. Zitto ni mwiba kwa Chadema, Mafisadi na Serikali kwa ujumla. Kwa namna yoyote, mabadiliko...
  9. M

    Mizengo Pinda: Mshahara wangu kama Waziri Mkuu hauzidi Shilingi milioni sita (6)

    Kweli Tanzania ni kituo cha maajabu. Wanasiasa wanatudanganya watakavyo. Mh. Pinda apokee shilingi milioni sita?
  10. M

    Nimelazimika Kutembea Na Mume Wa Mtu! Sina Jinsi! Kama Mumeo Ungenilaumu Kweli!

    Vita ni vita tu. Good opportunity never comes twice. Ridhiki imekupigia hodi; don't let it go away. Deal with it diligently! By the way, you weren't born to suffer, but to enjoy life. Ruka naye akuboreshee maisha!
  11. M

    Ufumbuzi majibu ya HIV yenye utata

    Ndugu JF Doctors, niliwapa taarifa kuhusu majibu ya HIV yenye utata ya mchumba wangu. Napenda kuwataarifu kuwa baada ya kukosa ELISA na WESTERN BLOT katika hospitali ya Rufaa Mbeya, tuliweza kupata vipimo hivyo katika kituo cha Uchangiaji wa Damu Salama ili kuondoa utata huo. Tumeambiwa kufuata...
  12. M

    Majibu ya HIV yenye utata

    Rufaa Mbeya hakuna ELISA wala WESTERN BLOT. Wapi kwingine unakojua kwa Mbeya?
  13. M

    Majibu ya HIV yenye utata

    Ndugu Jf-Doctors, mimi nina mchumba ninayetarajia kumwoa. Kwa maelezo yake, yeye bado bikra. Jana tulikwenda katika hospitali ya wilaya kupima HIV. Mimi nilionekana NEGATIVE, lakini majibu yake yeye yalinichanganya. Kipimo cha Determine kilionyesha POSITIVE, lakini Uni-gold ilionyesha NEGATIVE...
Back
Top Bottom