Kiingereza Cha Mama Anna Makinda.....

For a poor country like Tanzania, knowing English language is inevitable in order to communicate with our donors-the masters. We don't have stable economy and leadership then, our Big Shots can't avoid asking for assistance from Whites. Therefore, let's not create negativity against English while we're still incapable in terms of economy and politics.
 
Your suggestion is well incomparable and closes to the irrelevancy. English is in the class of its own, no matter what you think or say, it is a world's communicative icon of all times, you can not compare the two at all.
I doubt very much if an ex-cop will be in position to understand what you are driving at.
 
Sijui kwanini ikija mada ya kidhungu watu wanajifanya wazalendo.....ni uoga wa kujifunza ama vipi?...nawaza tu kwa maandishi...

bado tuko na uhuru wa bendera,,,itatugharimu miaka zaidi ya elfu moja kupata uhuru kamili kama wasomi wetu fikra zao ndio kama zako. ni vema kujifunza lugha nyingi, ni fahari kujua lugha nyingi,,,ila ni upuuuzi kushabikia lugha ya kigeni na ni upumbavu kumcheka na kumdharau mwenzio kisa tu hajui au hajifunzi lugha ya kigeni.
 
Napata taabu sana kuelewa kiingereza anacho ongea mama Makinda au sijui ni kwa sababu kiko deep sana ama kinasound kibantu zaidi?.....yote tisa kumi ni kwamba sijawahi kuwasikia mh Mkuchika,Asnain Murji, Shibuda Anna Abdala wakiongea kizungu hongereni kwa kukienzi kiswahili.

Senkyuu honorabo jeoefu memba fo raitingi zati posti. infakti ha daile bredi langueji izi kiluga chao. so mei bi samtaim shi is miksingi zeni yu donti andastemdi
 
Mh. Prof. High Water, wa Mheza anajitahidi sana kupiga kiinglishi ingawa inakuwa ni mseto zaidi (kiswa-nglishi).

Ni wa jimbo la Korogwe vijijini mkuu. Ndiye alimshinda Dr. Edmund Mndolwa wa Audit firm iliyotukuka ya Price Waterhouse Coopers (PWC). Nchi hii, haina mfano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom