Ajali ya Gari Mbozi-Mbeya

Muhwelo

Senior Member
Jan 16, 2013
136
32
Jana jioni, tarehe 30/08/2014, mnamo saa moja, kulitokea ajali mbaya ya lori aina ya Fuso lililoangukia mtoni katika kijiji cha Nyimbili baada ya kushindwa kupanda mwinuko.

Katika ajali hiyo, mtu mmoja alikufa palepale na wengine takribani hamsini kujeruhiwa.

Majeruhi wote walipelekwa katika Hospitali ya Wilaya Vwawa.

Lori hilo lilikuwa likiwarudisha wanafunzi wa Shule ya Sekondari Hezya.
 
daaaaa! pole zao, kwahyo alokufa ni dent, walikuwa wakitoka wap? daaah! hyo ni njia yang aiseee maana kila jumatatu asubuh lazma nipite nyimbiri, hezya nikielekea kazn mlale sekondari ilejeeeeeee kwa wandali.
 
Nilisikia pia jana hapo mbalizi kipanya kilifyeka watu wote walokuwa wamepanda
 
Sasa naanza kuaminh barabara hiyo ina tatizo la msingi, juzi tu ilikuwa mbalizi, jana itaka leo tena habari ile ile ajali khaaa! Hao matrafiki wanafanya nini humo barabarani? Tena kila kituo wapo!
 
Sasa naanza kuaminh barabara hiyo ina tatizo la msingi, juzi tu ilikuwa mbalizi, jana itaka leo tena habari ile ile ajali khaaa! Hao matrafiki wanafanya nini humo barabarani? Tena kila kituo wapo!
Cha kushangaza zaidi ni kwamba malori ndiyo hubeba abiria kutoka vijijini kuja mjini Vwawa.
 
daaaaa! pole zao, kwahyo alokufa ni dent, walikuwa wakitoka wap? daaah! hyo ni njia yang aiseee maana kila jumatatu asubuh lazma nipite nyimbiri, hezya nikielekea kazn mlale sekondari ilejeeeeeee kwa wandali.
Aliyekufa ni dent wa kike. Walikuwa wakitoka Nalyelye.
 
Back
Top Bottom