Jana jioni, tarehe 30/08/2014, mnamo saa moja, kulitokea ajali mbaya ya lori aina ya Fuso lililoangukia mtoni katika kijiji cha Nyimbili baada ya kushindwa kupanda mwinuko.
Katika ajali hiyo, mtu mmoja alikufa palepale na wengine takribani hamsini kujeruhiwa.
Majeruhi wote walipelekwa katika Hospitali ya Wilaya Vwawa.
Lori hilo lilikuwa likiwarudisha wanafunzi wa Shule ya Sekondari Hezya.