Recent content by kupata

  1. K

    Je umaarufu wa Mzee Lowassa umeporomoka au umeongezeka??

    Yaaa the Man is at work!!! he made the etra -ordinary meeting to end in his own power as every person touched him in anyway around!!! Not only him but Mzee Sumaye as well!!!these TWO are GIANTS IN TZ POLITICS! asikwambie mtu coz wanapeana matumaini lakini miyoni mwao wanatafakari kwa kini ni...
  2. K

    Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

    kipindi hiki ni kipimo cha uvumilivu na uaminifu kwa Mungu, baadhi na wengine kushindwa kuhimiri hali hii lakini kubwa zaidi ukipitia hali hiyo ni mpito wa wewe kuwa mwalimu na msaada kwa wengine kuwasaidia kuwashauri na kuwajenga ktk misingi ya uvumilivu....kama mti unahimili hali ya kudumu...
  3. K

    Huyu kaka nampenda, ila siwezi kumwambia

    Rahisi sana, ukimuona anakuja kwa mbele yako jifanye umepoteza kitu chako unakitafuta nakwambia akikukuta unahangaika hivyo atakusemesha tu.. hapohapo ndo mwanzo wa mazungumzo
  4. K

    Ukata wa fedha warudisha nidhamu ya madada, hata kwenye daladala, treni wanatongozeka

    heeee mbona mi sijaona impact yoyote juu yakubana matumizi, videmu bado vigumu tu aisee labda ww mwenzetu unavipata wapi hivyo?
  5. K

    Swali la mwendokasi: Lowassa akirudi CCM, CHADEMA watatuambia nini na CCM watatuambia nini?

    Lowasa Baba nyota yako ya kisiasa ni kali sana na tena inang'aa mno ndo maana kila kukicha watu humu JF wanaandika habari zako tu sijui umewanyang'anya mke hawa kwani hawaishiwi vimaneno maneno tena vya kitototo msikie mwingine huyo hapo juu??
  6. K

    Mzimu wa kutendwa unaniandama

    Wajinga ndio waliwao!
  7. K

    Nchi hii tuna viongozi wa dini wanafiki sana

    Asante sana ndugu yangu kwa kuliona hili!!!!!!!
  8. K

    DC wa Kibaha, Tatu Seleman Kikwete ni ndugu wa rais mstaafu?

    Ni kweli ndugu yake Raisi Mstaafu JK Kikwete, ni mzuri sana kwa masuala ya uongozi tangu aingie wilayani hakuna kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi na pia amepandisha vyeo wafanyakazi wa kada mbalimbali acha afanye kazi mama wa watu hana majungu wala majivuno, mchapakazi mzuri mno kwa kweli...
  9. K

    Maisha magumu yanaweza kukufanya uwe changudoa?

    ahaaa kumbeeeee ngoja ni practise nione kama itajibu afu ntakupa mrejesho mkuu
  10. K

    Maisha magumu yanaweza kukufanya uwe changudoa?

    mnawapataje totoz huko maofcni mi kila nikiangalia naona wametulizana sana nipeni mbinu wanazotumia kututega midume....
  11. K

    Niliumizwa sana nashindwa kusahau

    Bibie usiogope kumpata unempenda kwa dhati huhitaji kufikiri sana njia moja mwombe Mungu mda wote nae atakupa la kweli...hakuna mwanadamu aliyemkamilifu awe mwanaume au mwanamke wote tunachukuliana mizigo....isipokuwa Mungu pekee aweza yote...endelea kuishi kwa furaha na watu wote bila kujali...
  12. K

    Nimejaribu kumtongoza mchumba wangu kwa namba nyingine, amekubali kesho aje geto na wala hanijui

    asa weee kamati kama jina lako suala hili ungelipeleka kwenye kamati yako ya maandaizi ya ndoa ukalisemee wajumbe watakujuza tu, halafu na wewe kitu gani kilikusukuma kumfanyia jambo hilo lakumtega kwa sms nae akakubali bila kuhoji mlifahamiana wapi? inasikitisha sana wadada yaani ELFU 50 kaiona...
  13. K

    Je, Ni sahihi mke wa mtu kuletewa chips na mpangaji mwenzio mwanaume ambaye hajaoa?

    Mke wa mtu hazoewi ovyo ovyo kijana anamumendea kuzini nae, huwezi kuleta zawadi kwa mke mtu bila ridhaa yoyote....tafadhali vijana heshimuni ndoa za watu mtakufa mapema.. mke hata kama ni mbaya ana thamani kubwa mbele za mme!
  14. K

    Je, Ni sahihi mke wa mtu kuletewa chips na mpangaji mwenzio mwanaume ambaye hajaoa?

    Mwambie rafiki yako awaite wapangaji wote pamoja na mkewe awaeleze tabia anazozifanya huyo bachelor kwa mkewe kumletea zawadi ya chips na vitu vingine wakat sio mkataba wamakubaliano, jamaa aache mara moja ampe onyo mbele za wapangaji wote ibaki kama ushahidi kwa kuwa rafiki yako kamchunguza...
  15. K

    Hataki nimpeleke kwangu, anataka tuwe tunaonana guest house

    Hapana ninyi woooooote hamjajb hitaji halisi la binti, moja binti akienda gesti atakuwa huru kufanya mapenzi kwa sitailia na kwa sauti bila hofu, pili,ukimaliza kumfanya ana uhakika wakumpa hela ya nauli na chakula kwa kuwa hapo si nymbani, tatu, vitanda vya nymbani mara nying hatuvifanyii...
Back
Top Bottom