my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,384
Salam aleikoum,
Je maisha magumu yanaweza kumfanya mwanamke kua changudoa au malaya? mimi siamini kabisa naona kujiendekeza na uvivu wa kufanya kazi. we unaonaje maisha magumu yanaweza kumfanya mwanamke kua changudoa? kwanini?