Ukata wa fedha warudisha nidhamu ya madada, hata kwenye daladala, treni wanatongozeka

Nikukubali sana kamanda kwa maelezo yako mazuri, tumedharaulika sanaaaa.....tumesemwa sanaa....kwa sababu tu ya kutoweza kumudu gaharama za hawa viumbe hahahahaha....
 
Wana JF Umuhofia kwenu,

Leo nimeona nilete hili la asante Magufuli. Vijana inabidi tulipongeze kwani tumepata ngekewa ya kuwapata mademu wazuri ambao hapo awali walipotea kabisaa kwa sababu ya kutekwa na vibabu kimahaba.

Wengi wao waliwaza sana kupewa vijumba, magari hata kupangishiwa nyumba mzima ilimradi tu aonekane mdada wa mjini. Hivi sasa vibabu vingi vimetemwa utawala Magu, na vingine kubanwa kabisa, no safari , no fedha za ovyoovyo.

Hivyo basi wadada wengi ambao ulikuwa ukiwapa Hi wanakuangalia kwa jicho baya au ukirogwa ukakutana na demu ambaye bado anachati na kibabu ukamemesha, anasimamisha Inote /Pad yake ya mchina na kukuangalia jicho baya utafikiri umeua mtu, hivi sasa wapo wengi wamepaki magari, wengine kurudisha nyumba, wamebadilisha sauti zao zimekuwa za upole sana.

Konda akipita kukusanya chake wanatoa jicho la upendo waone kama watalipiwa. Jamani Magu mwema aisee, sasa hivi tunapata videmu vizuri wakati tulikuwa tunadhani wameumbiwa wenye nacho. Sasa hivi kesi nyingi kwa wakina mama zitapungua na watoto wa ndoa ndondo wataisha.
wamebadirishia gia angani
 
heeee mbona mi sijaona impact yoyote juu yakubana matumizi, videmu bado vigumu tu aisee labda ww mwenzetu unavipata wapi hivyo?
 
Wana JF Umuhofia kwenu,

Leo nimeona nilete hili la asante Magufuli. Vijana inabidi tulipongeze kwani tumepata ngekewa ya kuwapata mademu wazuri ambao hapo awali walipotea kabisaa kwa sababu ya kutekwa na vibabu kimahaba.

Wengi wao waliwaza sana kupewa vijumba, magari hata kupangishiwa nyumba mzima ilimradi tu aonekane mdada wa mjini. Hivi sasa vibabu vingi vimetemwa utawala Magu, na vingine kubanwa kabisa, no safari , no fedha za ovyoovyo.

Hivyo basi wadada wengi ambao ulikuwa ukiwapa Hi wanakuangalia kwa jicho baya au ukirogwa ukakutana na demu ambaye bado anachati na kibabu ukamemesha, anasimamisha Inote /Pad yake ya mchina na kukuangalia jicho baya utafikiri umeua mtu, hivi sasa wapo wengi wamepaki magari, wengine kurudisha nyumba, wamebadilisha sauti zao zimekuwa za upole sana.

Konda akipita kukusanya chake wanatoa jicho la upendo waone kama watalipiwa. Jamani Magu mwema aisee, sasa hivi tunapata videmu vizuri wakati tulikuwa tunadhani wameumbiwa wenye nacho. Sasa hivi kesi nyingi kwa wakina mama zitapungua na watoto wa ndoa ndondo wataisha.
ha dawa ni heat n run tu
 
Back
Top Bottom