Nimejaribu kumtongoza mchumba wangu kwa namba nyingine, amekubali kesho aje geto na wala hanijui

hapo hamna mke walai, yani ef 50 kakubali kuuza utu? Na appointment hio kakataa kui cancel ijapokuwa we mpenzi wake umetaka muonane kesho hio hio. Achana na hio boroka!
Kupanga ni kuchagua - Julius Nyerere.
jamani nahisi kuchanganyikiwa kwani nimeisha hudumia mno gharama zangu eee mungu nisaidie jamani

Ase mmekutana chagua moja uwe huyo msela wa namb nyngne au mume mtarajiwa
 
ndugu zangu vijana hasa wa kiukweli nimechanganyikiwa hivi juzi nilimpenda binti mmoja hivi nikamchumbia nikapeleka posa na mahali nikatoa nusu sasa leo nimenunua lain mpya ya halotel nikaanza kumjaribu mchumba wangu kumtongoza kwa sms huwezi amini amekubali kuja geto kesho kwa vile nimemuahidi endapo atakuja nimgegede ntampa elfu 50 kakubali basi nikampigia kwa namba yangu halisi nikamuomba kesho tukutane akatosa so nimesikitika sana na ndugu zangu hem tubadilishaneni uzoefu tafadhali
How old r u?
 
sasa kama wewe humpi hata hela ya pedi afanyeje??

kikikikikkkkk

kiding
 
Wanawake wa siku hizi chenga tu wote kwa asilimia kubwa.wewe oa ili mradi upate urahisi wa kupuga mzigo bila gharama kila ukitaka ila oa na piga tu nje
 
ndugu zangu vijana hasa wa kiukweli nimechanganyikiwa hivi juzi nilimpenda binti mmoja hivi nikamchumbia nikapeleka posa na mahali nikatoa nusu sasa leo nimenunua lain mpya ya halotel nikaanza kumjaribu mchumba wangu kumtongoza kwa sms huwezi amini amekubali kuja geto kesho kwa vile nimemuahidi endapo atakuja nimgegede ntampa elfu 50 kakubali basi nikampigia kwa namba yangu halisi nikamuomba kesho tukutane akatosa so nimesikitika sana na ndugu zangu hem tubadilishaneni uzoefu tafadhali
Wewe kwanza itabidi ukamatwe kwa kutumia line fake alafu wewe hujielewi huu ujinga wako wakutunga stories zimepita na wakati

Haya ni matumizi mabaya ya muda acha kabisa
 
Inaonekana we ni mzee wa free p.mb., ndo maana huyo dada alivyosikia elfu 50 akachanganyikiwa, hajazoea kupea hata mia na ww,
 
ndugu zangu vijana hasa wa kiukweli nimechanganyikiwa hivi juzi nilimpenda binti mmoja hivi nikamchumbia nikapeleka posa na mahali nikatoa nusu sasa leo nimenunua lain mpya ya halotel nikaanza kumjaribu mchumba wangu kumtongoza kwa sms huwezi amini amekubali kuja geto kesho kwa vile nimemuahidi endapo atakuja nimgegede ntampa elfu 50 kakubali basi nikampigia kwa namba yangu halisi nikamuomba kesho tukutane akatosa so nimesikitika sana na ndugu zangu hem tubadilishaneni uzoefu tafadhali

Tafuta kazi ufanye ili uongeze kipato chako, acha kuchunguza watu, tumia huo muda kufanya kazi/kusoma kwa bidii ili uboreshe maisha yako na ya wanaokutegemea!
 
ndugu zangu vijana hasa wa kiukweli nimechanganyikiwa hivi juzi nilimpenda binti mmoja hivi nikamchumbia nikapeleka posa na mahali nikatoa nusu sasa leo nimenunua lain mpya ya halotel nikaanza kumjaribu mchumba wangu kumtongoza kwa sms huwezi amini amekubali kuja geto kesho kwa vile nimemuahidi endapo atakuja nimgegede ntampa elfu 50 kakubali basi nikampigia kwa namba yangu halisi nikamuomba kesho tukutane akatosa so nimesikitika sana na ndugu zangu hem tubadilishaneni uzoefu tafadhali
Aisee pole sn, huo mtihani sasa
 
jamani nahisi kuchanganyikiwa kwani nimeisha hudumia mno gharama zangu eee mungu nisaidie jamani
Mpasukie,vunja uchumba jipe muda kutafuta mwingine. Huyo sio mwanamke wa kuoa kama wewe si mvumilivu maana ukimweka ndani utaugua presha,kisukari, na ulcers kabla hujafuatiwa na magonjwa nyemelezi kama TB,kuharisha kusikokwisha, homa za mara kwa mara atakapokuwa amekuzawadia HIV.
Ila seriously,mwache na usimlaumu maana sio kosa lake,kuna wanawake sio wa kuoa. Kwenda kwenye appointment sio kosa,ila kama mtu kaamua kujicomit kwa ndoa wakati hajaamua kuchange,ndipo tatizo linapokuja.
 
ndugu zangu vijana hasa wa kiukweli nimechanganyikiwa hivi juzi nilimpenda binti mmoja hivi nikamchumbia nikapeleka posa na mahali nikatoa nusu sasa leo nimenunua lain mpya ya halotel nikaanza kumjaribu mchumba wangu kumtongoza kwa sms huwezi amini amekubali kuja geto kesho kwa vile nimemuahidi endapo atakuja nimgegede ntampa elfu 50 kakubali basi nikampigia kwa namba yangu halisi nikamuomba kesho tukutane akatosa so nimesikitika sana na ndugu zangu hem tubadilishaneni uzoefu tafadhali

Yupo katika mwendokasi ndiyo hivyo tena hamna jinsi
 
Muache aje geto mlipo kubaliana..
Alafu uniite mm nimndi ndi ndi..then unakuja baadaye kutufumania..
Hapo ndio utakuwa na ushahidi kamili.
 
asanteni sana yaani napiga chini
asa weee kamati kama jina lako suala hili ungelipeleka kwenye kamati yako ya maandaizi ya ndoa ukalisemee wajumbe watakujuza tu, halafu na wewe kitu gani kilikusukuma kumfanyia jambo hilo lakumtega kwa sms nae akakubali bila kuhoji mlifahamiana wapi? inasikitisha sana wadada yaani ELFU 50 kaiona nyingi zimsaidie kununulia mapochopocho ya ndoa pengine!! pole yako aisee..
 
Hiyo uliyofanya ni nzuri sana ila kuwa na maamuzi thabiti maadamu hakujui tafuta jamaa yako wa katibu mpe hiyo 50 akutane nae sehemu yoyote agonge mzigo wewe ukafumanie mchezo uishe.

Kama una maamuzi fuga tu maradhi yaje yakuumbue huko mbeleni.

Huyu duh hatari tupu maana akitangaziwa dau ukiwa kwenye ndoa hatochomoa kwa hii mitihani ya maisha utasaidiwa sana.

Ukisafiri kikazi wiki utakuta wamepiga watu wakutosha sasa sijui Ukisafiri mwezi itakuaje yaani maumivu ila umejua mapema mshukuru Mungu na unaonekana ni mtu wa kumuomba Mungu sana ndio maana kakufunua mapema hili janga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom