Uzi wa Siku ya kwanza kupanda Ndege ilikuaje na uzi wa jiji la New York City Marekani waliamua ,pia uzi wa kuhusu kufikisha miaka 40, pia uzi wa wenye iphone wanajikuta ,uzi wa kuhusu UTT Amis pamoja na kuhusu kupata passport ukatafute maisha ughaibuni nazipenda sana hizi nyuzi
Vipi kama ushauri wako sio mzuri ujue wanawake nyie wengi wenu ni wabinafsi na pia mnalazimisha mtuu akuone ni muhimu na ndio maana unaambiwa punguza kujiona muhimu kwenye maisha ya watu
Hivi kweli mvua inyeshe tena kubwa sana halafu maji yasiingie bwawani na wakati mvua imenyesha eneo hilo hilo tena kubwa mbona kama wanatuona kama hatuna ubongo mbaya zaidi wanashinda uchaguzi hata wewe tafakari ?
Wadau habarini za jioni, poleni na jukumu la kujenga taifa,
Ndiyo tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada.
Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau...
Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya
Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji...
Hawa wanajishau kuwa wanajua kufanya biashara kumbe wako tuu nyumbani na wanajiita wasomi wakati elimu aijawasaidia anawekeza Bakhresa kwenye mutual fund nyie mbumbumbu msio na kitu mnapinga nakujisifia kuwa mnajua biashara kumbe amna lolote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.