Recent content by fk2011

  1. fk2011

    Hatutaki Mbowe aachiwe huru, tunataka Serikali iliyomshitaki kwa ugaidi iithibitishie dunia ugaidi wake

    Una akili kama za Zitto. Hatupendi viongoz waoga waoga kama hao. Mbowe ni mfano wa kuigwa, kiongozi asiyeyumbishwa na anayesimama kwenye haki.
  2. fk2011

    Hatutaki Mbowe aachiwe huru, tunataka Serikali iliyomshitaki kwa ugaidi iithibitishie dunia ugaidi wake

    Kwani akifungwa wewe unaumia nini?? Kuna mengi ya kujifunza kuhusu kesi hii. Katiba mpya na tume huru ni lazima. Hata wakisema wanachama wote wa chadema ni magaidi bado tutaendelea kudai tu.
  3. fk2011

    Wafanyabiashara Arusha wafunga maduka kwa muda usiojulikana

    Na bado, safari hii tutanyooka tu. Hiki chama tumekipenda wenyewe. Hapo ni mwendo wa ndiyooooo! hadi kny baraza la madiwani.
  4. fk2011

    Wafanyabiashara Arusha wafunga maduka kwa muda usiojulikana

    Acha kukurupuka kujibu kitu usichokijua au kukielewa. Hapa mlalamikaji au mpangaji alishiriki kujenga fremu katika kiwanja cha manispaa ya jiji la Arusha kwa makubaliano maalum. Kitendo cha kupandishiwa kodi ya jengo ghafla bila kushirikishwa ni kinyume na makubaliano yao waliyoyaweka na...
  5. fk2011

    Mbowe akishinda hii kesi jamhuri msiwe mnapeleka kesi mahakamani kabisa

    Umeandika upuuzi mtupu, unalazimisha nyekundu kuwa kijani kitu ambacho hakiwezekani. Kukariri uongo ni shida sana. Mapoti waliotoa ushahidi walikuwa pamoja muda mwingi ktk upelelezi wao lakini kny ushahidi wao wanapingana kwa mambo mengi sana, mfano mazingira walipowakamata watuhumiwa poti mmoja...
  6. fk2011

    Mwigulu Nchemba awachana wanaohoji deni la taifa

    Afu wakisema jengo lile lina mazuzu wanachukia. Uchunguzi anaozungumzia nape ni kutaka kujua thamani ya miradi iliyofanyika na fedha iliyokopwa. Kama waziri kashafanya uchunguzi atujuze sio kutoa majibu ya juu juu tu
  7. fk2011

    Nani aliyemuumba Mungu?

    Mungu yupi unayemuulizia hapa? Fafanua swali lako
  8. fk2011

    Mbunge Lijualikali atoa siri za CHADEMA; akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

    KUPATWA KWA LIJUA hii season bado inaendelea
  9. fk2011

    Usiginwaji wa Katiba Bungeni: Watetezi wa Haki za Binadamu nchini walaani. Wawakumbushia umuhimu wa kila raia kuilinda Katiba ya Nchi

    Wewe ndio unalalamika hapo katuhabarisha tujue kinachoendelea. Kama kakukera pita kule
  10. fk2011

    Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

    Fanyeni mambo mkijua kuwa watanzania sio wajinga. Hili tamko nadhani walengwa hawalielewi
  11. fk2011

    PSSSF ni majambazi wa kizazi kipya

    Tueleweshe vizuri huo mpango ulivo tukushauri
  12. fk2011

    PSSSF ni majambazi wa kizazi kipya

    Unashauri tukaweke kny kibubu
Back
Top Bottom