Nani aliyemuumba Mungu?

That is very true, kwa maoni yao ya ajabu wanasema; ukiuliza swali au maswali kama hayo wewe unakuwa, Mjinga, Muongo, mdanganyifu, maamuma, na Sophist. -- sasa huo uongo (deception) unatokea wapi katika kuuliza??!!๐Ÿคฃ
Huwa wanakuwa wakali sana.... utafikiri wale matapeli wa simu ukiwastukia ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜
 
The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (ูˆูŽุฃูŽู†ู‘ูŽ ุฅูู„ูŽู‰ูฐ ุฑูŽุจู‘ููƒูŽ ูฑู„ู’ู…ูู†ุชูŽู‡ูŽู‰ูฐ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).

Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.

Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.

Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.

Ahsante.

Jurjani (Zurri)
Hajaumbwa alikuwepo
 
Hii maana uliyo itoa mbona inakuumbua mzee, inaonyesha kabisa "Sophist" ni mtu muongo muongo, msanini,mpotoshaji,soma chini kabisa.

Haya sasa eleza tukuelewe ni kwa namna gani mtu aulize; je Mungu kaumbwa??--- kwa kuuliza tu awe Muongo muongo, mpotoshaji, msanii, tapeli, mzandiki, barazuli nk??., wewe ndiye utaumbuka kwa Copy- paste zako kutoka kwenye mitandao kutoka kwa watu wasiojua dini, na kunathibisha hizo copy- paste zako kama kwamba ni Hadithi za mtume (saw)--- huku macho na povu zikikutoka kutetea bila ushahidi wa Qur'an wala hadithi.

Jibu hapo ueleweke ni kwa vipi, Mtu aulizapo hilo swali na awe Muongo muongo, awe tapeli, mpotoshaji, msanii nk??

Je ni kwa vipi unajua kama kila mtu aulizaye hilo swali anakuwa na hizo sifa tu baada ya kuuliza, je wewe umekuwa "aalimu ghaibu" na kujua yaliyomo mioyoni mwa waulizaji???

Kumbuka; aalimul ghaibu wa shahada ni sifa za Allah pekee.

Ukishindwa hayo maswali mpelekee huyo mwalimu wako au nasisitiza mlete hapa, kwanini hutaki kumleta au nipe e-mail address yake mimi mwenyewe nimlete hapa ukumbini.
 
The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (ูˆูŽุฃูŽู†ู‘ูŽ ุฅูู„ูŽู‰ูฐ ุฑูŽุจู‘ููƒูŽ ูฑู„ู’ู…ูู†ุชูŽู‡ูŽู‰ูฐ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).

Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.

Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.

Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.

Ahsante.

Jurjani (Zurri)
Energy can not be created nor can it be destroyed....
Why do you bother yourself about who created God...Define Energy and know that God is All which IS and which Is Not!He is absolutely God and God Absolutely!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why do you put such resemblance of energy conservation to God??---

Energy is created by God and destroyed when necessary by Himself. Every thing can be destroyed except God, only so far we are not aware of all means by which energies can be destroyed as result we end up with; "Energies can neither be destroyed nor created". as if they fell down on the earth from nowhere.
 
Na kwanini uulize aliyemuumba Muumbaji(God)? ni kipi kilichokufanya ufikiri muumbaji atakuwa kaumbwa hadi uulize aliyemuumba?
 
Haya sasa eleza tukuelewe ni kwa namna gani mtu aulize; je Mungu kaumbwa??--- kwa kuuliza tu awe Muongo muongo, mpotoshaji, msanii, tapeli, mzandiki, barazuli nk??., wewe ndiye utaumbuka kwa Copy- paste zako kutoka kwenye mitandao kutoka kwa watu wasiojua dini, na kunathibisha hizo copy- paste zako kama kwamba ni Hadithi za mtume (saw)--- huku macho na povu zikikutoka kutetea bila ushahidi wa Qur'an wala hadithi.

Jibu hapo ueleweke ni kwa vipi, Mtu aulizapo hilo swali na awe Muongo muongo, awe tapeli, mpotoshaji, msanii nk??

Je ni kwa vipi unajua kama kila mtu aulizaye hilo swali anakuwa na hizo sifa tu baada ya kuuliza, je wewe umekuwa "aalimu ghaibu" na kujua yaliyomo mioyoni mwa waulizaji???

Kumbuka; aalimul ghaibu wa shahada ni sifa za Allah pekee.

Ukishindwa hayo maswali mpelekee huyo mwalimu wako au nasisitiza mlete hapa, kwanini hutaki kumleta au nipe e-mail address yake mimi mwenyewe nimlete hapa ukumbini.
Safi kabisa, kwanza umekubi ya kuwa "Sophist" sio mtu wa kuamika ? Mjanja mjanja, mpotoshaji ?

Mada kama umeirukia na kuchangia acha uangukie pua. Mada inawajumuisha wote wenye shaka juu ya uumbaji wa Mola na hasa Wakana Mungu wenye kupinga uwepo wa Allah.

Kuna watu hujenga hoja na kuuliza maswali ili kupindisha ukweli mfano wa haraka ni kina Richard Dawkins katika kitabu chake "The God Delusion" hawa wanaingia katika "Sophist" katika kubadilisha hoja na kucheza na maneno ili kupotosha ukweli na mfano wa hawa, na ndio maana hakuna sehemu tuliyosema ya kuwa "Kuuliza bi ujinga" bali tumehoji juu ya nini kinaulizwa na hali ya muulizaji.

Sasa ajabu unapotaka kujadiliana na wakubwa zangu wakati mimi tu kijana wao umenishindwa na mada mpaka muda huu hujaielewa, naona unaikosea adabu Elimu na watu wake.

Pili, nikikuwekea ushahidi huko juu wa Hadithi kadhaa zinazo toa muongozo juu ya kipi mtu anatakiwa akifanye pindi anapo jiwa na hali ya kuuliza maswali kama haya, sasa mjinga wewe unanjidai mjuaji wakati hata nususi huzijui wala huzisomi na wewe dini yako ina makando kando mengi sana.
Kumbuka; aalimul ghaibu wa shahada ni sifa za Allah pekee.
Naona unatoka nje ta mada, kwa kuingiza mambo yasiyo husu mada. Kuna mambo hujulikana kwa nususi mzee na kwa ishara,hakuna anae jua ghaibu.

Naona unatapa tapa huna hoja.

Ukija uje na hoja sio kulalama.
 
Na kwanini uulize aliyemuumba Muumbaji(God)? ni kipi kilichokufanya ufikiri muumbaji atakuwa kaumbwa hadi uulize aliyemuumba?
Soma mada vizuri, hapo nimewawakilisha au kuelezea kile ambacho watu fulani huuliza na kuhoji katika mapito yao ya kujenga hoja juu ya kutokuwepo kwa Mola, wengi wao huuliza swali hilo ili kuleta ghishi na kupindisha ukweli.
 
Safi kabisa, kwanza umekubi ya kuwa "Sophist" sio mtu wa kuamika ? Mjanja mjanja, mpotoshaji ?

Mada kama umeirukia na kuchangia acha uangukie pua. Mada inawajumuisha wote wenye shaka juu ya uumbaji wa Mola na hasa Wakana Mungu wenye kupinga uwepo wa Allah.

Kuna watu hujenga hoja na kuuliza maswali ili kupindisha ukweli mfano wa haraka ni kina Richard Dawkins katika kitabu chake "The God Delusion" hawa wanaingia katika "Sophist" katika kubadilisha hoja na kucheza na maneno ili kupotosha ukweli na mfano wa hawa, na ndio maana hakuna sehemu tuliyosema ya kuwa "Kuuliza bi ujinga" bali tumehoji juu ya nini kinaulizwa na hali ya muulizaji.

Sasa ajabu unapotaka kujadiliana na wakubwa zangu wakati mimi tu kijana wao umenishindwa na mada mpaka muda huu hujaielewa, naona unaikosea adabu Elimu na watu wake.

Pili, nikikuwekea ushahidi huko juu wa Hadithi kadhaa zinazo toa muongozo juu ya kipi mtu anatakiwa akifanye pindi anapo jiwa na hali ya kuuliza maswali kama haya, sasa mjinga wewe unanjidai mjuaji wakati hata nususi huzijui wala huzisomi na wewe dini yako ina makando kando mengi sana.

Naona unatoka nje ta mada, kwa kuingiza mambo yasiyo husu mada. Kuna mambo hujulikana kwa nususi mzee na kwa ishara,hakuna anae jua ghaibu.

Naona unatapa tapa huna hoja.

Ukija uje na hoja sio kulalama.

Soma vyema hizo copy- paste zako, wewe kiingereza hujui lakini unajibaraguza kuokoteza post za kiingereza na kuzituma humu bila kwanza kutafakari impact yake au kuuliza kwanza kutoka kwa wanaojua kiingereza, sasa unapigwa maswali unashindwa kujibu, Umeangukia mdomo pwaaa!!.---- mnanajipa sifa ya "Alghuyuub", sifa ya Allah pekee ya kujua mambo ya ghaibu, huo ni ushirikina na kibri.

Unasema maana ya Sophist ni mtu Muongo muongo, tapeli, mjanjamjanja nk.

1-----SWALI NI HILI UNAWEZAJE KUMJUA VIPI MTU ANAYEULIZA SWALI; " if God is the creator then who created the creator??" KWAMBA YEYE NI SOPHIST (yaani, muongo muongo, tapeli nk)??

2----SWALI LA PILI, JE KILA MTU DUNIANI ANAYEULIZA HILO SWALI NI SOPHIST, a lying, deceiver, devoid of intellect? ??

3---- SWALI LA TATU JE MTU AKIULIZA SWALI; je Mungu kazaliwa na nani??--- naye anakuwa Sophist, an Ignorant, devoid of intellect, a lying deceiver ???

Halafu ni vyema ukatoa tafsiri ya hiyo Copy--paste yako kwa Kiswahili, inawezekana uli copy tu kibubusa (dogmatically) bila kujua maana ya kikichoandikwa humo.

Sema kama huwezi kutoa tafsiri usaidiwe usione aibu.
 
Unakubali nimetoa maana ya "Sophist" au sijatoa ? Je umeielewa au hujaelewa ? Sasa pita humo katika hizo maana nilizo zitoa na ile maana uliyoitoa pia, maana hata maana ukiyo itoa inaonyesha ukanjanja wa Sophist, sasa wewe unae jua Kiingerza mpaka sasa hivi hujakosoa nilichokiandika, zaidi ya kutaka tarjama, hapa ndio nacheka sana.

Sasa hizi ni ishara za kushindwa hoja na kupoteza muda.
 
Soma mada vizuri, hapo nimewawakilisha au kuelezea kile ambacho watu fulani huuliza na kuhoji katika mapito yao ya kujenga hoja juu ya kutokuwepo kwa Mola, wengi wao huuliza swali hilo ili kuleta ghishi na kupindisha ukweli.
Na mie nimeuliza swali kwa mtu mwenye kutakata kujua aliyemuumba Mungu.
 
Unakubali nimetoa maana ya "Sophist" au sijatoa ? Je umeielewa au hujaelewa ? Sasa pita humo katika hizo maana nilizo zitoa na ile maana uliyoitoa pia, maana hata maana ukiyo itoa inaonyesha ukanjanja wa Sophist, sasa wewe unae jua Kiingerza mpaka sasa hivi hujakosoa nilichokiandika, zaidi ya kutaka tarjama, hapa ndio nacheka sana.

Sasa hizi ni ishara za kushindwa hoja na kupoteza muda.

Najua kutoa tarjama (tafsiri) kwako itakuwa ngumu, basi nakusamehe, wewe sasa jibu hayo maswali matatu tu.

Japo kuna matatizo kuhusu maana ya Sophist, kuna maana ya asili na maana isiyo ya asili (loose meaning) wewe umechukua loose meaning, kwa ajili ya mjadala nikakubali tu hizo maana ulizotoa ili nije nikupige hapo baadaye, na hakika nimekupiga barabara kwani inakuaje eti Mtu "YEYOTE" aulize; je Mungu kaumbwa na nani??-- mtu huyo awe; muongo muongo, tapeli, hana elimu nk???!!, je unajuaje kwamba kila aulizaye hilo swali anakuwa na sifa hizo???, je wewe unaweza kuingia ndani ya moyo wa mtu na kusoma fikra zake???--- hayo ni baadhi ya maswali ya kujibu, hapo hutoki licha ya kujibaraguza kwako huku na huko.

Ndiyo maana nasema wewe uli copy- paste BLINDLY post usiyoijua vizuri ndiyo maana huwezi kuitetea hapa, mlete Muhusika wa hiyo post hapa wewe huwezi kuijibu kwakuwa siyo post yako.

Na ukome kuleta post bila kwanza kuzisoma kwa kina.

Wewe unadhani kila anayehoji kuhusu Mungu ni "Edward" Hawkins??? ๐Ÿคฃ(Stephen Hawkins).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom