Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,785
- 104,715
Lini mlienda kumuona Mbowe gerezani? Na mmeishachanga kiasi gani cha pesa kuwapa mawakili wa kesi? Mmempeleka chochote kwa familia ya Mbowe? Au mnataka Mbowe akae jela mkusanye pesa za michango mgawane.
Familia ya Mbowe sio ya kimaskini hivyo ya kupelekwa kilo moja ya sukari na mche. Pesa zinachangwa kwa utaratibu, zitaliwaje? Huko CCM ndio kina wapigaji, hivyo mnadhani kila mahali ni wapigaji .