mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,352
Vipi value for money, maana Kuna kuongeza sifuri brooMwigulu yupo sahihi Nape alikuwa anajikosha tu kwa wapinzani kiukweli kuna miradi mikubwa sana imefanyika sitaki kutaja sana mfano mmoja tu ni barabara, barabara zimejengwa kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa mfano Morogoro mpaka mwanza hasa kupitia Bariadi Simuyu yaani barabara ilifumuliwa na kujengwa kisasa zaidi, makambako-Mbeya, Tabora to Nzega na Manyoni, barabara kuelekea kigoma ambako maendeleo yalidumaa kutokana na kotofikika kirahisi lakini saizi ni full mkeka kwa hiyo hao jamaa wa promo tuachane nao tu muda mwingine