Recent content by Fandre

  1. Fandre

    Mh. Hussein Bashe atakuwa mbunge tishio toka CCM kwenye bunge la 11

    Mh. Hussein Bashe ambaye wengi wamekuwa wakimuita kama KIBOKO YA KIGWANGWALA ndiye Mbunge tokea Chama Cha Mapinduzi anayeonekan kuwa ndiye atakuwa mwenye uwezo wa kujenga hoja za nguvu na kuisimamia serikali kikamilifu kama katiba na kanuni za bunge zinavyosema. Akiwa tayari ameshaweza kutoa...
  2. Fandre

    Nafasi za Kazi, Ofisi binafsi ya Mbunge wa Nzega Mjini

    Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini Mh. Hussein M. Bashe inapenda kuwatangazia watanzania wote kuwa imeanza kupokea maombi ya kazi kwa nafasi mbili ambazo ni LEGAL OFFICER na ADMINISTRATIVE OFFICER watakaokuwa wanafanya kazi katika Ofisi Binafsi ya Mbunge iliyopo Nzega Mjini. Waombaji ni...
  3. Fandre

    Hussein Bashe afanya ziara ya ghafla katika hospitali ya wilaya ya Nzega

    Comrade Ndagla COs na AMOs - wilaya na MD - mkoani ila hiyo ilikuwa ni practice ya zamani. Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere alianzisha vyuo vya Clinical Officers na RMAs (Regional Medical Assistants Colleges) ili kumeet demand ya uharaka wa huduma za afya vijijini na mijini na...
  4. Fandre

    Hussein Bashe afanya ziara ya ghafla katika hospitali ya wilaya ya Nzega

    Ninakuunga mkono kamanda! Huwezi kutatua matatizo ya Taifa kwa kuangalia serikali kuu tu peke yake lazima ufanisi na usimamizi bora uanzie ngazi za chini kabisa.
  5. Fandre

    Hussein Bashe afanya ziara ya ghafla katika hospitali ya wilaya ya Nzega

    Ndugu zangu tusiyaangalie mambo kwa macho ya kawaida tu, ni jambo la kweli kabisa kuwa nchi yetu imekuwa na mapungufu mengi katika maeneo mbalimbali lakini Mtu mmoja pekee hataweza kutembea nchi nzima na kuhimiza maendeleo hasa kwa maeneo yaliyoko mbali kwani watu wengi walioko huko wanahisi...
  6. Fandre

    Hussein Bashe afanya ziara ya ghafla katika hospitali ya wilaya ya Nzega

    MBUNGE WA NZEGA MJINI MHE. HUSSEIN BASHE AMEFANYA ZIARA YA GHAFLA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA NZEGA LEO TAREHE 12.12.2015 NA KUBAINI MAPUNGUFU MAKUBWA KATIKA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA. Mbunge wa jimbo la Nzega mjini Mhe. Hussein Mohamed Bashe majira ya saa tano na nusu asubuhi leo Jumamosi...
  7. Fandre

    Huu ndio msimamo wangu kuhusiana Magufuli kuwa rais

    Kuna nyakati katika maisha kila mwanadamu huwa lazima atanabaishe msimamo wake kuhusiana na masuala fulani muhimu yanayohusu maisha yake ama maisha ya wengine au mambo ya wengine yanayogusa maisha yake kwa namna moja au nyingine. Lakini kwakua nchi yangu inaongozwa na Katiba ambayo katika Ibara...
  8. Fandre

    Maombi ya Gwajima huwa yanamfikia Mungu?

    VUTA SUBIRA KIDOGO TU UTAELEWA... Tanzania imekabidhiwa mikononi mwa CHADEMA yaani Mh. Lowassa na UKAWA.
  9. Fandre

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Kwanza nianze kwa kuikiri imani yangu kuwa mimi ninaamini katika Biblia na nitatoa mifano yangu kutoka katika kitabu hiki kitakatifu. KWENYE BIBLIA IMEANDIKWA "Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua."..... MITHALI 29:2 "Wenye haki washindapo, uko utukufu...
  10. Fandre

    Sauti ya Ujerumani ifungiwe matangazo yake Tanzania

    Kinachokusumbua ni UJINGA NA UZEZETA.
  11. Fandre

    Sababu 31 kwanini Magufuli hawezi kuwa rais wa Tanzania

    SABABU 31 KWANINI MAGUFULI HAWEZI KUWA RAIS WA TANZANIA WALA CCM KUENDELEA KUIONGOZA TANZANIA. By Fandre Suala la Uchaguzi Mkuu katika Taifa lolote lile huwa ni suala kubwa na lenye kubeba maslahi mapana kwaa Taifa husika kutokana na kuwa ndio njia pekee HALALI ya kupata kiongozi Mkuu wa Nchi...
  12. Fandre

    Ewe mtanzania usipoteze kura yako kumpa Lowassa

    Hii Akaunti ni Mpya na ina post 2 tu ikiwemo na hii jambo hili lina Maana mtoa Mada ametumwa tokea Lumumba Kwa Ajili ya kumchafua Rais wetu Mh. Lowassa. Mgombea wao hata Jiografia ya darasa la nne hajui anachanganya tu Kila siku Madesa. Hajui Libya iko wapi, Iraq wala Kuwait. Hii ni Shida ya...
  13. Fandre

    Bomu la askofu Gwajima laisambaratisha CCM

    By Fandre Baada ya Askofu Gwajima wa Ufufuo na Uzima kumlipua Dr Slaa na kuwasambaratisha kabisa wale waliokua wamemnunua ili kumdhoofisha Mh. Lowassa sasa hali Si shwari ndani ya kambi ya Chama cha Mapinduzi baada ya Silaha yao ya mwisho kuwaunguza wao wenyewe. Askofu Gwajima alikemea wazi...
  14. Fandre

    Gwajima Kitanzini, Viongozi wa dini wamshukia kama mwewe

    wagombea wa CCM wanapoenda Kwa waganga na Kuua Albino mnafurahia na kuona UCHAWI na SIASA ni sawa tu ila Wagombea wa UKAWA wanapomuamini Mungu na kusaidiwa na viongozi wa Dini mnasema DINI ISIINGIE KWENYE SIASA. Hamchomoki mwaka huu hata mfanyeje
  15. Fandre

    Nakusudia kumshitaki GWAJIMA kwa kutengeneza ujumbe fake wa kumkashifu Dr. Slaa

    Kama katengeneza tuonyeshe wewe ujumbe wa kweli ulionao. Acha propaganda za kitoto zisizo na mashiko. Umeanza kwa kusema kuwa tarehe ya mchakato ilikua ni 27/7 hii ni hoja dhaifu sana tena ya watoto wa nursery... Mchakato wa kumuingiza Lowassa Chadema haukua wa siku moja na kama una akili...
Back
Top Bottom