Nje ya chaki
New Member
- Aug 17, 2015
- 4
- 2
Ewe mtanzania mwenzangu kati ya wagombea wawili wenye ushawishi Mzee mwenyewe Magufuli na mzee wa Mamnvi ila Magufuli anafaa 100% kwanza ana afya nzuri kwa kuthibitisha hilo amezunguka tangu kampeni zimeanza ila mzee wa mamnvi upepo unakatakata sana,pili kuna viongozi wengi waliopo ccm walishawishiwa kugombea upinzani wakakataa ila mbona yeye alikubali atakua na ajenda ya siri,Tatu ana kashifa Magufuli hana kashifa yoyote ailioibuliwa kama Richmonds,Nne Tanzania tunataka Rais Mkali kidogo,Lowasa kwenye mikutano yake hata kelele anashindwa kutuliza mfano mkutano wake na wamama dar ulioandaliwa na Halima Mdee.