Nakusudia kumshitaki GWAJIMA kwa kutengeneza ujumbe fake wa kumkashifu Dr. Slaa

Khaa!! Nyie wote na Gwajima kweli ni mambumbumbu mbona Hoja ya Dr Slaa ilikuwa simple tu LOWASSA HAFAI KUWA RAIS WA SABABU NI FISADI full stop. Mbona hakuna anayeijibu hiyo???????? :glasses-nerdy:
Naye n fisadi ..tena Wa halisi(kuiba wake za watu)tunamuonesha tu kuwa hana haki ya kuoneshea vdole wengne
 
Gwajima, a.k.a Mfalme wa misukule hakuwahi kuwa mtumishi wa mungu na sio na wala hatawahi kuwa mtumishi wa mungu. Ni tapeli kama matapeli wengine wanaotumia neno la mungu kutibu njaa zao za kila siku na kuwafanya waumini wao watumwa wao kila uchao.
Msukule Wa kwanza huo..
 
nakemea pepo GWAJIMA;
PEPO LA NGONO ,
LILIOACHA KIJANA MBASHA ANANGAIKA NA KUMTUMIA MKEWE KWENYE MAJUKWA ILI HALI MKE ANAMUACHA NYUMBANI NA KUMFANYA BI MDOGO ANAPOENDA KWENYWE KAMPENI KUMUOMBEA EL.

KAMFANYA MBASHA KIPOZEO BAADA YA KAMPENI.

PEPO TOKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Mchungaji anapoamua kutoa nje siri za ndoa za watu,uyo atakuwa magumashi na ni bora akachagua kati ya siasa au kumtumikia mungu kuliko kujificha kwenye mwavuli wa kanisa wakati matendo yake ni tofauti na anayoyahubili. Mungu amsaidie atoke njia panda awahi njia kuu kabla muda wa kufanya hivyo haujaisha.
 
Hats yy mwenyewe slisema hapa wapo wanaotaka kubadilisha hiyo mambo sikushangai pipoooooooz
 
Hata hivyo tumeandaa mikakati kadhaa kuhakikisha kuwa hatoendelea kupiga dili, mikakati hiyo ni kama ifuatavyo:-(1)Tutamfunga kifaa maalum mkononi kitakachoditect nia ovu yoyote atakayofikiria kichwani kabla hajatenda (2) Hatoachwa popote mwenyewe bila mtu, yaani ni kama timu inayoenda kucheza na Barcelona, lazima Messi awekewe ulinzi maalum kwa dakika zote 90, ingawa tunajua uwezo wa Messi lakini walau tutapunguza hatari kwa asilimia kadhaa. (3) Tutatoa mifumo yote ikulu ya kimawasiliano ya moja kwa moja na wizara ya fedha, BOT, taasisi za kifedha n.k.

Mikakati ni mingi lakini hiyo ni kwa uchache.

Mbowe angeongea haya mbona ningemuelewa mapema sana, nimeipenda hii mikakati
 
Ukiwa na muda wa kujadili Maneno ya mpigaji kama Gwajima automatically utakuwa mmoja wa mambumbumbu aliowazungumzia Mkapa juzi.
 
Gwajima amepoteza sifa za kuwa mtumishi wa Mungu.

Mtulie dawa iwaingie nyie wote wenye mapepo kama ya Josephine Mshumbusi....

Alivyoongea Slaa mlifurahia sana sasa amejibiwa mnahangaika kaka kuku anayetaka kutaga mayai...

Tulieni sindano ziwaingie
 
Wewe nipe ushauri mambo ya mimi kama nani hayakuhusu. Maana alichokifanya Bisho Gwajima ni propaganda za uongo. Huo ujumbe aliosema alitumiwa ni uongo, katengeneza. Sasa nipe ushauri tu!


Kama katengeneza tuonyeshe wewe ujumbe wa kweli ulionao.

Acha propaganda za kitoto zisizo na mashiko.


Umeanza kwa kusema kuwa tarehe ya mchakato ilikua ni 27/7 hii ni hoja dhaifu sana tena ya watoto wa nursery... Mchakato wa kumuingiza Lowassa Chadema haukua wa siku moja na kama una akili nzuri utakumbuka Slaa alianza kususa na kukaa kimya hata kabla ya tarehe 27.

Acha kufikiri kwa akili za wenzio...
 
Kama uasikofu ndo huo anaouonyesha Gwajima basi hakuna haja ya kusali bora tubaki majumbani mwetu tunasikiliza Ndombolo ya Solo ya Wenge Musica BCBG.
 
Dr nae ni mtumishi wa Mungu, nae alichemsha mambo mengi......kati ya Dr na mchungaji, aliyejijengea credibility kubwa ni Dr zaidi hivyo hapa yeye ndiye anayeharibikiwa kuliko mchungaji ktk mambo ya siasa. Mchungaji yule si padri ni kama Mwinjilisti na huo ndio munkari wao wanapo ona mambo yanaharibika!!
 
Wewe nipe ushauri mambo ya mimi kama nani hayakuhusu. Maana alichokifanya Bisho Gwajima ni propaganda za uongo. Huo ujumbe aliosema alitumiwa ni uongo, katengeneza. Sasa nipe ushauri tu!

Ushauri ni kwamba huna locus; bila kuonyesha madhara (special damage) uliyopata huwezi kusimamisha shitaka
 
Wewe nipe ushauri mambo ya mimi kama nani hayakuhusu. Maana alichokifanya Bisho Gwajima ni propaganda za uongo. Huo ujumbe aliosema alitumiwa ni uongo, katengeneza. Sasa nipe ushauri tu!

Watu mna kazi ,
Hivi unadhani Dr Slaa akikanusha kama msg ni fake kampuni ya simu husika ina wajibu wa kufatilia ..so subiri mhusika aseme kama ni uongo na msg ni fake ndo tuanze kufatilia toka hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom