Recent content by ERI2012

  1. ERI2012

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi ukihamisha pesa yako kutoka account yako ya NMB na kwenda account yako ya M-mpesa na muamala ukakamilika na ukakatwa pesa za kukamilisha muamala huo na NMB lakini mwisho wa siku pesa ifanikiwe kuingia kwenye Account yako ya M-Mpesa wakati tayari pesa umeisha katwa ya kuhamishia!kisha...
  2. ERI2012

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ninge penda kujulishwa ni vigezo gani hawa voda wanavitumia kufunga vifaa vinavyo wezesha huduma ya internet kwenye minara yao,Ulimwengu wa wa sasa ni mwendo wa internet sasa mbona kuna sehemu zina watumiaji wa internet wazuri tena kwa kasi kubwa lakini hii huduma haipatikani ni mwendo wa Moderm...
  3. ERI2012

    habari za hasubuh wadau kwa yeyote atakae pata update za NACTE atujuzee!!!

    Daaaa sidhani na wakifanya hivyo unakuwa ni uonezi mbona
  4. ERI2012

    CCM/Magufuli na falsafa ya kuiga-iga.Duh wameiga na hii

    mkuuu wewe ni zaidi ya ujijuavyo usiku utakuwa mzuri maaana nimecheka haijawahi tokea
  5. ERI2012

    Tunapendana au tunatamaniana

    kipindi hiki tumenyimwa utashi wa kumtambua ni yupi mwenye upendo wa dhati
  6. ERI2012

    TCU: Admission capacity = 0

    Mara nyingi data base yao huwa haipo poa kwani mwisho wa siku itakuja kudisplay tu
  7. ERI2012

    Je, wajua? - Special Thread

    Tusaidie kwa kutuonyesha japo kwa picha ili tuamini na kujua zaidi
  8. ERI2012

    jimbo la Msalala asubuhi kwenda CHADEMA

    Huo ndo mchanganuo at least unaelewaka sio ule mshikaji
  9. ERI2012

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Sasa sijajua ninamna gani nitaingia mpaka nikapata hiyo option ya reset kwani pattern zimekuwa locked ndugu
  10. ERI2012

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Unaweza kunisaidia kwa kunipa hizo specification zake za hiyo sumsang garaxy s5?
  11. ERI2012

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Naomba unisaidie ndugu kwa kuifungua simu yangu imejilock baaada kuingiza password mara nyingi
  12. ERI2012

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Vip kuna simu yangu aina ya Tecno m3 imejifunga naomba msaaada jinsi ya kuifungua
  13. ERI2012

    Wanachama wa CHADEMA Ludewa wachoma kadi na kuhamia ACT-Wazalendo

    Sasa kwa nini wanaendelea kuvaa pamba za chadema kama si kurogwa kifikra ni nini?
  14. ERI2012

    Kipindi cha Njiapanda cha Clouds fm, lengo kuu ni nini?

    Hilo hitimisho lako ndilo sahihi kupita maelezo ila mengine yote ni kupingana na masilahi ya hicho chombo kumbuka kuwa ile ni sehemu ya biashara
Back
Top Bottom