Wauza smartphone tukutane hapa

Sony Xperia Z iko katika hali nzuri imekuwa ikitumika na msichana bei 370,000/- mwenye uhitaji anipm
 
Nauza samsung galaxy s6 32gb, imetumika miezi miwili. Inakuja na box na charger, bei tsh 980,000. Anayehitaji nichek at 0717301520
 

Attachments

  • IMG-20150812-WA0008.jpg
    IMG-20150812-WA0008.jpg
    70.7 KB · Views: 257
  • IMG-20150812-WA0007.jpg
    IMG-20150812-WA0007.jpg
    44.3 KB · Views: 228
  • IMG-20150812-WA0003.jpg
    IMG-20150812-WA0003.jpg
    69.9 KB · Views: 224
Nauza htc one max, 16gb. Imetumika miezi minne, iko kwenye hali nzuri. Bei tsh 480,000, inakuja na charger.
 

Attachments

  • IMG-20150809-WA0000.jpg
    IMG-20150809-WA0000.jpg
    27.3 KB · Views: 242
  • IMG-20150809-WA0003.jpg
    IMG-20150809-WA0003.jpg
    29.9 KB · Views: 220
  • IMG-20150809-WA0007.jpg
    IMG-20150809-WA0007.jpg
    46.6 KB · Views: 217
nina nokia lumia 720 used 200,00
nina samsung s3 full box... 270,000 mpya..
nina samsung galaxy core 2 used... 200,000

simu zote zipo kwenye hali nzuri sanaa..


contact 0654766056
 
Wadau nina blackberry z10 nauza 350,000,pia ninayo galaxy s5 nauza 500,000 ina saa yake ambapo simu unaweza kuiacha nyumbani ukavaa saa tu na ukaendelea kupokea simu,kupiga,kutuma sms n.k.in short ni watch gear fit.simu zimesimama.nicheki kwa namba 0712484858.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom