Tunapendana au tunatamaniana

mwalukuni mchanyato

JF-Expert Member
May 15, 2013
401
220
Hivi ndugu zangu vijana wasasa tunaoana siku mbili tu tunaachana.SWALI:Je,ni kweli hivi sasa watu wanapendana au wanatamaniana tu.Maana ndoa hazidumu kabisa tofauti na wazee wetu.
 
Wazee wetu ni tofauti sana na zama hizi.

Kwa kweli kila kitu kimebadilika
 
Waliotufundisha kuachana ni wazee wa zamani. Kwa hiyo kuachana na mtu sio jambo la kushangaza kama anakiuka miiko ya ndoa kwa nini ung'ang'ane naye wakati unaweza kufanya plan B.
 
tulia ww kwan kuna chakula gan ambacho hujawahi kula mpaka xaxa kinachopatikana sehemu yako acheni hzo kama kubadili tayari huoni hapo ni tamaa tuuu
 
Wanawake wa zama hizi vichwa vyao vibovu sana ,hlf wengi wao wanawashwa sana.

Anyway ni bora kuachana kuliko kuishi maisha ya stress.
 
Back
Top Bottom