Recent content by Emanuel Urassa

  1. E

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Lakini sio 1.5 trillion
  2. E

    Sababu ya Bunge kutokuwa mubashara

    Kweli achape kazi km 2yrs = 1.5 trillion hivyo tunafanya 10yrs ÷2 =5×1.5 trillion= ??????
  3. E

    Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa: Alichofanya Makonda ni kitendo cha kinyama

    Ukijaribu kuangalia kwa undani utaona hatuna sababu ya kuwa na TALGWU wala vyama vingine vya wafanyakazi kwa ujumla. Havina lolote.
  4. E

    Mishahara ya wachezaji Simba SC msimu 2017/18 - Niyonzima kinara.

    Yanarekebisha hayo, kwani mikataba ya nyuma Mo alikuwa hajapewa timu
  5. E

    Hii ndege ni hatari sana ikitokea vita

    Hats JWTZ wanaweza hiyo wako ngerengere kawaida sana hiyo.
  6. E

    Ukuta katika machimbo ya Mererani wazua utata

    Hatujajipanga, tatizo mara nyingi ni umasikini wa kufikiri, kusuluhisha jambo kwa njia zisizo sahihi na elimu za kuungaunga.
  7. E

    Rais Magufuli: Nilivyoingia sukari Ilikuwa Sh. 5,000/- sasa hivi imeshuka na itaendelea kushuka

    Sina imani km watz wana akili timamu, kwa speech hii duuu.
  8. E

    CHADEMA jipimeni kwa uwezo wa kujenga hoja sio uwezo wa kuishambulia Serikali

    Hivi hoja zinajengwa kwa kutuambia sukari 1 kg ilikuwa 5000 mwaka 205
  9. E

    CHADEMA yazidi kukimbiwa na Madiwani wake

    Wawadanganye mbulula wenzao
  10. E

    Pongezi kwake Mange Kimambi

    Ni mnyonge kwa alichotendewa Mh Lissu.
  11. E

    Kitengo cha fedha cha CHADEMA kinaaibisha Taifa

    Kwanza futa neno fedha za umma, hii ilikuwa michango ya hiyari kutoka kwa wabunge wote. Hivyo si za serikali wala bunge(yaani ofisi ya spika). Hivyo swali lako lingefaa kujibiwa km muhimili bunge au serikali ingelitoa fungu.
  12. E

    Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Naomba kuwa makamu wa Rais
  13. E

    Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

    Mwenye macho haambiwi tazama, ukicheza hata sungura utaambiwa ni tembo.
Back
Top Bottom