wewe hujaona visima vilivyojegwa enzi za wakoloni vikipakwa rangi na kuzinduliwa kwa mbwembwe kama miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na serikali nyakati za mbio za mwenge ???!!!!Bado sijaelewa tukio la kuhamia CCM kwenye sherehe za heshima za kijeshi za kuvishana nishani.
Hao madiwani walikuwa wanajeshi?
Au hao wanajeshi ni wanaCCM?
Ha ha ha ha!!!Bado sijaelewa tukio la kuhamia CCM kwenye sherehe za heshima za kijeshi za kuvishana nishani.
Hao madiwani walikuwa wanajeshi?
Au hao wanajeshi ni wanaCCM?
So ndefu kihivyo. Mbona tuliisha sogea. Kuna intruder mmoja anajaribu kuvuruga, but can't take more than 7 years from now. Tutarudi kwenye msitari kwa nguvu na ari zaidi.Bado tuna safari ndefu sanaaaa kama taifa.
marudio ni lowasa na sumaye.....maana ni wastaafu.Hakuna kipya hapo, zote ni zilipendwa tu. Hizo ni kick za marudio, wote hao wanaodaiwa kuwa ni madiwani wa CHADEMA walishatangazaga kujiuzuru udiwani wao siku nyingi sana na kuhama CHADEMA na wengine walifukuzwaga, na hilo tukio la kusema wamehamia CCM huenda leo ni marudio yake, maana walishafanya hivyo hivyo mara mbili katika nyakati tofauti tofauti.
After military parade?!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na madiwani na waliowahi kuwa madiwani wa CHADEMA walioamua kuhamia CCM wakati wa sherehe za kukamisheni maafisa wapya wa kijeshi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017View attachment 594221View attachment 594222
Chagadema ndiyo nini?Unadhihirisha ni namna gani ulivyomweupe ktk kujenga hoja!Nini maana ya mfumo wa vyama vingi vya siasa?Au unategemea karne ya 21 watu wakupigie makofi hata kama unapumbika?Arusha inarudi ili tuwaachie wenye chama chao pale Kilimanjaro manake cc Mwanza tulishasahau kama kuna Chagadema!!