Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

Kilaza mwingine kaja na post, hivi watanzania lini mtaelimika?
Utakuta OP ni mtu kamaliza form four kasoma biology, au unakuta ni mwanaume amekaa na balls kabisa zimetuna hajui hata mtoto anatokea wapi. Kaona video tu kwenye internet watu wanaigiza kaamini asilimia mia. Turudie mara ngapi kua internet ina uongo asilimia zaidi ya 80%. Inachosikitisha na commenters wengine wanashangaa inaonekana wameamini huu upuuzi, kweli I'm done with watanzania, tolerance ya ukilaza una limit yake.

Mwanaume hawezi zaa hata kwa ujinga mnaoita uchawi, wanawake wanaotumia vidonge kustimulate male hormones sijawaclassify kama wanaume maana bado ni wanawake, mfumo wao mzima ni mwanamke. Kuonyesha tofauti ya wabongo, nimeonyesha marafiki zangu hii video wote sio wabongo kila moja papohapo anajibu kua ni fake alafu anaendelea na shughuli zake.
 
Karibu siku zinavyozidi kwenda, dunia I napata uvumbuzi mwingi sana

Amepatikana mwanaume aliezaa huko nchi ni marekani

Huyu hapa kwenye video muone



Hahahaha wazungu bana wanajidanganya wenyewe transgender sio mwanaume, getically she is XX a woman. Huwezi kuwa mwanaume kwa kunywa artificial hormones
 
Hata ya ukweli ipo, na ilitrend miezi ya mwanzoni tu mwaka huu pale jamaa moja lilipofanikiwa kubadilishwa jinsia na madaktari!
Lisemwalo lipo na kama halipo......
Dunia inaishia hii.
Akibadili jinsia hawezi itwa tena mwanaume Bali ni Mwanamke.

Mwanaume hawezi kuzaa kamwe.
 
Kiru
Saa ndo kazaa unalia nini labda?!

UKISTAAJABU YA MUSA
YA FIRAUNI YATAKUSHINDA

JIONEE MWENYEWE

Hiyo ni muvi Mkuu.
Hujui hata Editing za Filamu.
Waje watu wa Movie animation.

Hiyo haiwezekani na haitakuja kutokea.

Hivi unawezaje kudanganywa na mzungu ukaamini.

Hilo Jambo halipo Mkuu.
Ni ujinga wa Mwaafrika kuamini kila akisemacho mzungu pasipo kufikiri
 
Bro ulaya wamesoma kuliko wewe

Njoo sasa ubishe na huku

UKISTAAJABU YA MUSA
YA FIRAUNI YATAKUSHINDA

JIONEE MWENYEWE


Ulaya ipi hiyo waliyosoma kuliko mimi? Nimesoma chuo kipo top 10 kila mwaka kwenye QS world university ranks, na bado naishi na kufanya kazi hukuhuku kwa miaka mingi sasa, so nawajua vizuri elite wa huku nje walivyo.

Hiyo video uliyoweka hapo haiprove chochote, hata South Africa walikua wa kwanza kufanya surgery mbalimbali ambazo hazijawahi fanywa kwingine. Tatizo langu ni wewe kuleta video kua mwanaume anajifungua na wewe kwa akili yako ukaamini kua ni kweli. Umesoma wapi wanapofundisha mwanaume anauwezo wa kuzaa?
 
Mimi ni Tomaso hata kama nimeona video bado sijaamini wala sitaamini kama mwanaume anaweza kuzaa.
Samahani kwa kuwavunja moyo watengeneza video
 
Back
Top Bottom