Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg

Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Uzi wa kwanza ulisema una mtoto mmoja hapa ilikuwa January

Uzi wa pili unasema una watoto wawili..au ukweli na uongo upo wapi
 
Pole sana bibie kwa changamoto upitiazo, ni sehemu pia ya maisha ya ndoa... Jaribu kuangalia unakosea wapi ujirekebishe...Pia mshirikishe mjue mustakabali wa hiyo tabia yake upoje...usijaribu kulipiza kisasi kwa kuchepuka na wewe..Ongea nae vizuri, msisitize kila siku umuhimu wa kupenda familia..Focus kwenye kulea familia yako, Pia usisahau kusali sana inasaidia, ipo siku atarudi kwako akijutia.. hizo starehe anazoponda ni za muda mfupi
 
Ukimaliza, ili linakuja pia. Pia km umesoma vizuri mm silalamiki naulizia jambo la msingi km ww mwana ndoa madhani unaweza kuona tatizo. Mm huwa sijui uongo sababu siku hadi siku ni mume wangu lazima nijue jinsi ya kupigana na changamoto zangu. Ushauri wako naomba
Umesema vizuri tafuta wachungaji ,weka wazi kwao ,kuwa ngangari uweke monitoring ya nguvu kwa mmeo

Kkiwezekana jitaidi hata kwenye cm yake ujue kinachoendelea

Weka wazi kwa wazazi usifiche kitu hiyo inaweza kusaidia si huku

Ndo ushauri wangu
 
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg

Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Dada pole, njoo nikuridhishe
 
Mweleze Mungu wako kuhusu ndoa yako naye atakujibu na mumeo atabadilika 100%.

Don't cheat as a revenge
 
Kama unajitaidi nje anafata nn nyie wanawake mburula kweli mkizaa kwani huwa mnatujali acha umbea Dada,mwanaume hawezi kwenda nje kama anaridhika

Maumbile yako yanaweza kuwa either umeharibiwa zamani na mapenzi wako mwenzako dhahabu anayotaka yamebaki makinia tu hiyo ni shida nyingine

Kwa wanawake plz kuleni bats,badilisheni wanaume,leo huyu kesho yule"ndoa zitawasumbua tu kama dada huyu anayelalama humu

Unakuta mtu ukiingia hamna limit stand kiuno hakuna atakayempenda mke ambaye mwanaume anapwaya

Wengine wanalalamika eti waume zao vibamia angalieni mlikopitia maumbile yenu yamecopy ma ex wako sasa ndoa ni vituko tu haiendi

Dada ukitaka nikudadavue njoo pm yangu maana inaweza kulaumu kumbe wewe ndo si mtamu
Ww uko kwenye ndoa? Mburula hapa hayupo ni bora unyamaze uhitaji matusi. Hiyo msg yako haina uhalisia ktk group za WhatsApp hizo zipo sana.

Ndugu km Upo ktk ndoa ww ongea uhalisia.
 
Mwambie ukweli hakuridhishi lakini kwa lugha ya mahaba na heshima. Muulize tatizo anasumbuliwa na nini? Hasipo kusikiliza kuna mawili, moja mtumainie Mungu na uvumilie. Pili jilipue katafute mwanaume mashine uridhishe moyo wako lakini uwe tayari na majuto mjukuu kama magonjwa au talaka na kujibu kwa Mungu wako siku akikuita, kuacha watoto wenu yatima. The choice is yours! Ushauri wa babu mwenye busara usilipe kisasi kwa ubazazi wake, mara nyingi wewe unaelipa kisasi ndio unakutana na majanga makubwa. Mwenzie aameshaweka ushirika na shetani anampatia ulinzi wake ili azidi kuwaangamiza wengi. POLE SANA NA MUNGU AKUPE UVUMILIVU NA UJASIRI.
 
POLE SISTER, MWOMBE MUNGU AMNUSURU MUMEO NA TABIA HZO NA MAGONJWA PIA, JITAHDI KUMWAMBIA MARA KWA MARA NAMNA GANI UNAKERWA NA HIYO TABIA.. UKISHINDWA, PELEKA KWA WAZEE.
 
Umelinganisha na nani? Hadi useme hakuridhishi? Na kama hakuridhishi umemwambia? Sio kila siri za chumbani zinatoka nje wakati mhusika hujamwambia.
 
Kabla sijaleta humu huwa najichunguza na pia naweza kusema niña mapungufu lakini km niña shida naona niongee ili nijifunze nijikosoe pia, lazima kuongea ktk ukweli au mawazo ya wengi naamini sokoni pa kujisahihisha
Mimi ninaamini ukiweza kuurudisha ule ukaribu wenu wa mwanzo hata kwa 65% utajua mapungufu alioyaona kwako maana utamuuliza kwa hekma na atakwambia.Nyumbani ni mbingu ndogo ya wanaume na wewe Jitahidi kwa akili na imani kupabadili hapo nyumbani pawe mbingu ya mmeo.Fikiria kwa hekma yako yote.
 
Back
Top Bottom