Vipindi vingi vya Dini hususani vya Kikristo katika radio mbalimbali nchini vinaendeshwa na watangazaji ama wasemaji wasioweza kuzungumza lugha fasaha ya kiswahili. Inaonyesha hata wanao wasaili hawajui kama hawajui kiswahili Sanifu.
Mfano, Unakuta mtangazani anatakiwa aseme Roho Mtakatifu...
Mie nimekuwa mtumiaji wa tiGo na Airtel. Ilikuwa wakizingua Airtel nahamia tiGO and viceversa.
Hivi sasa Hali imenifika shingoni sina pa kukimbilia. Manake Wote ni majambazi. Unaweka Bando la wiki. unalazimika kushusha mtandao kwenye Simu isome 3G badala ya 4G.
Lakini haujamaliza Dk 5...
Huu ni mtindo mpya ambao Airtel wamebuni ili kuwaibia wateja, tumezoea kuibiwa MB's zetu zinapunguzwa kiaina na wakati mwingine unapokea meseji kuwa bando limeisha hata kabla halijaisha au haujalitumia vizuri.
Lakini sasa wamekuja na mbinu nyingine ya kuwaibia wateja kupitia kuwauzia "Tozo" ya...
Nafikiria umepiga Hesabu zako vibaya. Awamu inayoendelea ni ya 5. Kwani kila awamu haipungui vipindi viwili vya uraisi.
Awamu ya sita bado itaanza 2025.
'Vijeba" ni matokeo ya watu kuishi maisha magumu, kufanya kazi ngumu na kubeba vitu vizito kichwani na lishe duni.
Athari hizi zikiendelea kwa muda
mrefu hupelekea genes kubadilika kwa mfano wa "Gene mutation" ambapo vinasaba( genes ) humfanya mtu aendane na hali ya mazingira yake ya...
Sina nia ya kupiga ramli au ku-beti kuhusu Gwajima kama anachomoka au hachomoki.
Akishindwa itakua aibu yake yeye mwenyewe na chama chake kilichofanya Teuzi kikiongozwa na pole*2.
Maana mpaka sasa rekodi zinaonyesha Gwaji hajawahi Kushinda kwa kura popote. Hata ushindi huu Amepita kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.