Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Maana yake ninini Wige??
Ni sherehe kuashiria

Msimu wa mavuno

Hivyo kunakuwa na ngoma shindanishi

Kati ya Baghika na Baghalho

Lakini pia kuanza kwa mavuno

Yaliyopo shambani juni mosi

Huku ikisubiriwa bei ya pamba julai mosi

Itangazwe

Ni kipindi cha shangwe na furaha kiasi kwamba

Minada ndio inaanza kuchanganya

Pesa kama zote ukanda huo
 
Ni sherehe kuashiria

Msimu wa mavuno

Hivyo kunakuwa na ngoma shindanishi

Kati ya Baghika na Baghalho

Lakini pia kuanza kwa mavuno

Yaliyopo shambani juni mosi

Huku ikisubiriwa bei ya pamba julai mosi

Itangazwe

Ni kipindi cha shangwe na furaha kiasi kwamba

Minada ndio inaanza kuchanganya

Pesa kama zote ukanda huo





Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ahaaa! Asante sana kwa maelezo!
 
Kuna jamaa hapa anaziba pancha Tu lkn life lake hatar Sana nyumba kali gari Kali mpaka police wanamuuliza umepataje nyumba hii

Hao wapo wengi sana lakini wanaishi maisha ya mateso sana, kuna Ngosha mmoja maeneo ya Makumbusho ana mzigo wa maana lakini anavaa viatu hizi plastick za sh 5000, shati limechanika na kushona shona halafu akiingia kubet anaweka mpaka laki 6 ile virtual
 
Ni sherehe kuashiria

Msimu wa mavuno

Hivyo kunakuwa na ngoma shindanishi

Kati ya Baghika na Baghalho

Lakini pia kuanza kwa mavuno

Yaliyopo shambani juni mosi

Huku ikisubiriwa bei ya pamba julai mosi

Itangazwe

Ni kipindi cha shangwe na furaha kiasi kwamba

Minada ndio inaanza kuchanganya

Pesa kama zote ukanda huo





Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Zile Mbina zilitakaga kuchukua maisha yangu nakumbuka nilienda na Babu kwenye Mbina na Marehemu Babu kuuza Miwa, Machungwa, Machenza na Mastafeli kwenye trailer la kusukumwa na Ng'ombe nikajichanganya nikaenda mpaka kwenye kichanja anachosimama Mringi aisee kilichonipata, Ni kwa sababu tu Ukoo wa Babu ulikuwa wa Kichifu
 
IMG_6321.jpg

Ukigoogle unapata soft copy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom