Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Jamani nani anaweza kunisaidia pa kupata software ya xman g8, msaada wenu ndugu zangu nimesha sumbuka sana google sijapata.
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Habari waungwana...Nina laptop yangu Toshiba satellite niliinunua kitambo kidogo,sasa ipo slow sana japo ram ni gb 4,naomba mnisaidie wapi ntapata service z software na hardware pia maana hata dvd...
0 Reactions
1 Replies
604 Views
Wadau naomba mwenye uwezo wa kuconect na kuisoma satelite finder anipatie ujuzi, mana iki kifaa sikielewi kwakweli. Shukran.
0 Reactions
2 Replies
731 Views
Haya mpya wezangu watufanye watumwa kila siku Facebook mara pamlchat tena tango au viber na nyungine nyingi sijazimaliza mtanisaidia.SWALI Zinafaida gani kwetu sisi ???? Wakati zote zinakazi moja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau kwakweli nimechoka na uduma za hawa jamaa, kila siku matatizo tupu,hata local chaneli hawaoneshi bure.? Wadau mwenye idear ya kuchakachua matangazo yao aweke hapa,mana tumewachoka bora...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dear Photograph – The website features photographs of people holding up old pictures that were taken at the exact spot several years ago. Some of the best photographs are now compiled in a book...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi nina dish la futi sita na lnb 1 na ku band 1, lakini star tv na tbc1 zinasumbua sana hazipatikani ch 10 ina scatch vibaya nifanye nini au hawa jamaa signal zao zipo weak msaada unahitajika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Facebook has spread like an infectious disease but we are slowly becoming immune to its attractions, and the platform will be largely abandoned by 2017, say researchers at Princeton University...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
wadau naombeni mnijuze katika hili nini ni tofauti kati ya antivirus na internet security....je zinafanya kazi sawa au .natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Nikitaka kupiga napokea warning Camera error au errorCall back. Nifanyeje?
1 Reactions
0 Replies
893 Views
nimecopy movie ambavo ipo kwenye mfumo wa VCL kwenye flash disc na lengo langu ilikuwa ni kuiangalia hyo movie kupitia deck yangu ya samsung ili kitu kidisply kwenye big screen sasa tatizo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hello Jamii forums member I am 25 years old male, with good health thus I can work in different conditions. I am form six leaver, holding grade II of electrical and...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Wadau naomba mnijuvye,nahitaji printer kama nilivyoianisha hapo juu.Kwa anaefahamu bei yake pls naomba msaada. Kwa wakaazi wa DAR na Arusha wapi naweza kuipata...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Nina Dell Niliachiwa Ni Old School Dell Latitude D630 Ina 2GB Ram, 1Gb Processor 250HHD. Inasumbua Kila Mara Ninapotaka Kucheza Gemu like GTA Vice City Au Kufungua Program Za 3D Edit Huwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Siku 3 zilizopita nilipoteza Galaxy. Leo nimejaribu kupiga no ambayo niliipoteza na huyo simu ikawa iko hewani ila haipokelewi. Naomba mnisaidie ni jinsi gani naweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada eti kuna king'amuzi kinaitwa xmaster na kinaonyesha channel gn?
0 Reactions
1 Replies
531 Views
anayejua msaada pliz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu, nina Fifa 14 ambayo ipo Cracked na Nos Team. Haina tatizo lolote lile, kwa wale wapenzi wa mpira wanaifurahia sana hii Game. Mimi nipo Dar na sidhani kama nitatoka nje ya Dar...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu, Kwema? Nimekutana na hii app katika pitapita zangu. Kwa kifupi hii ni app inayo f(x) kama air gesture ya kwenye S4 na other devices. Iko poa kwa namna flani and its really cool n...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba kujuzwa flash aina gani ni nzuri
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom