Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Habari wana JF, Mimi ni kijana mwezenu amabye nimechoka kusubiri ajira,nimeamua kufungua Company yangu,Ndugu zangu najua kila kitu ni pesa,Nimekwama ndio maana nakuja kwenu wangwana mnipe Link...
1 Reactions
3 Replies
750 Views
Habari wana JF!! Nimekuwa ni mpenzi wa kujifunza kutengeza matangazo sana, hasa matangazo ya magazeti na mabango ingawa nimekuwa nikitumia zaidi Publisher (Offfice) lakini haitoi vitu vya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nadhani hili linapaswa kuwa hapa katika technology Naomba kujua wale ambao wanauza cd a antivirus pamoja na serial zake wanafanyaje? na mm nataka kuanzisha hii biashara kama inalipa. natangulia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumia iPhone 3G nli-download Jamii Forums app ikawa poa ss recently kila nikiifungua ikifika sehemu ya kusoma thread in-crash nliifuta then nika download tena ila bd tatizo liko pale2,ila...
0 Reactions
1 Replies
650 Views
Heshima Kwenu wanajamvi. Simu yangu Nokia X2-01 inagoma ku- download apps, mara nyingi imekuwa iki-respond kwa kuleta ujumbe huu "Service Not Available. Pia OVI Store nayo inagoma kabisa...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Wadau wa jukwaa hili naomba msaada nimeambiwa nichague simu moja kati ya hizo hapo juu niende wapi? NOKIA N8 AU SUMSUNG GALAXY SIII CLONE?
0 Reactions
35 Replies
2K Views
kwa ambaye ataweza nisaidia kupaTa betri ya droid RAZR naomba tuwasiliane kwa no 0653648573..... nawatakia kazi njemA
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Jana wakti napitia pitia online nilikutana na watu wameanzisha kitu kinaitwa php gtk kwa ajili ya kutengeneza desktop application je ni kweli hii yawezekana na kama inawezekana hiyo application...
0 Reactions
4 Replies
728 Views
Habari wana JF. Naombeni keys za IDM 6.18
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Not one to take security lightly, Google has announced it will pay hackers a combined total of nearly US$3 million (NZ$3.65 million) to find exploits in its Chrome OS computer software. The...
0 Reactions
7 Replies
845 Views
Demand for large-screen and low-cost smartphones were among the leading forces behind the staggering growth of the segment. Cheap devices were pointed as the key difference maker – they made...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
How do you put animated avatar, au avatar inayochezacheza?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
*snipped*
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Soon, You Might Unlock Your Hotel Room With Your Smartphone Brian Heater Jan 27, 2014 Also See: good ideas Also See: Weak...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Nimekuwa nikitumia Apple iPhone 3g kwa muda sasa.sasa nimehitaji kuweka application ya Jf na nyimginezo inagoma ikisema os ni yazamani yaani ni 4.1 na inatakiwa niwe na version zaidi ya hiyo( new...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Previous reports revealed that the G Pro 2 will have a 6-inch display with Full HD (1920 x 1080) resolution, Qualcomm Snapdragon 800 processor 3GB of RAM, LTE-Advanced connectivity and Android 4.4...
2 Reactions
0 Replies
495 Views
Heshima mbele wakuu.- Natafuta Internet yenye bei nzuri kwa matumizi ya office. Point to point ni nzuri na nipo tyr kupokea ushauri lakini nataka unlimited.-Yeyote mwenye ushauri please naomba...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Msaada kuna program za Windows ambazo nimeinstall kwenye Linux. Sasa naona baadhi hazifanyi kazi vizuri naziondoaje maana nimejaribu kwa njia ya terminal hazitoki. Naombeni msaada wanajf.
0 Reactions
5 Replies
801 Views
Wataalamu, Nina Laptop Toshiba Dynabook A9/CME 422 ambayo imegoma kabisa ku install XP SP 3. Nimejaribu yafuatayo: 1. Nimetafuta Bootable CD tofauti tatu lakini moja tu ndiyo inatoa ujumbe wa...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Kama kuna mtu anaujuzi wa hii kitu nahitaji maana kila cku namaliza pesa 2 plz mtu mwenye ujuzi wa hii kitu aniunganishe?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom