China has always tried to support its homegrown tech industry and even the security concerns over U.S. secret surveillance which gives Chinese Government another reasons to trust domestic...
Calling all hackers. Google is handing out the big
bucks.
Yesterday, the tech behemoth announced plans
for its fourth annual hackathon (called Pwnium
4: "Pwn,"the act of breaking into a...
Wakuu simu yangu tajwa hapo juu nikizima haiwaki hadi niisogeze kwenye chaja ipate moto hata kama ilikuwa imejaa halafu ndo inawaka. Tatizo limeanza leo. Je nifanyeje ?
niko chuo kilimo hapa Arusha,kuna tatizo kubwa hapa chuon la shortcuts cjaelewa n virus or what,ukichukua program toka computer moja kupeleka nyingine unaikuta iko shortcut ila ukiiclick inafungua...
Vp wakuu? ivi ni software gani bora ya ku unlock huawei modem? (sio code calculator). Halafu vipi kuhusu zile modem za huawei unakuta hazina IMEI(hususan za zantel) but zina S/N pekee,tunafanyaje...
So in the spirit of educational password-shaming, here's SplashData's list of this year's 25 worst passwords, along with expert analysis of what each one says about the sort of person who uses it...
Wakubwa, nimeuziwa iphone 5S ambayo nashindwa kuitumia kwa sababu ina iCloud lock, na aliyeniuzia sina contact nae tena. Nawezaje kuiondoa? Kama unaweza tafadhali tuwasiliane kwa pm, niko Dar.
Not a mosquito. It's an insect spy drone for urban areas, already in production, funded by the US Government. It can be remotely controlled and is equipped with a camera and a microphone. It can...
Wadau naombeni mnisadie ninashindwa kutumia laini yangu ya airtel coz mtu akinipigia anapata ujumbe "call rejected". Nimejaribu kutumia #35 *000# naambiwa request can not be completed.Naombeni...
Wakuu wa janvi habari za kujishughulisha, ninaomba kwa anayefaham mahali nitaweza kununua DELL VOSTRO 270 Nitashukuru sana, nahitaji computer hiyo kwa ajili ya kazi zangu za ofisi coz nimeona ina...
Wadau naombeni mnisadie ninashindwa kutumia laini yangu ya airtel coz mtu akinipigia anapata ujumbe "call rejected". Nimejaribu kutumia #35 *000# naambiwa request can not be completed.Naombeni...
ndugu zangu kuna kitabu nimedownload na kukisave kwenye PC yangu,lakini nikitaka kuprint nipate hardcopy ile print icon haiwi active kuniruhusu niprint,kitabu kiko kwenye PDF (secured) .Mwenye...
oy wajameni, wale wa kubundika kijanja ndio mwisho wetu... Wamefuta bhana ile offer yao. Yaani kushney kabisa. Nimeiangalia ile msg yao mara mbili-mbili ila naona hawajakosea. Wameamua kuifutilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.