Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

wanaJF naomba kusaidiwa kufaham duka au mtu anayeweza kuniuzia OS X 10.5 au mpya zaidi ili niweke kwenye macbook yangu. nimetafuta online lakini napata zinazouzwa tu , na mimi siwezi kununua...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni kuhusiana na simu yangu ya nokia c3 kila nikifungua program ya game inajizima yenyewe na kujiwasha nilikua naomba kama kuna mwenye ufahamu wowote anisaidie tafadhali
0 Reactions
0 Replies
703 Views
habari za jioni wakuu naomba msaada namna ya kufungua akaunti skype maana nimejaribu ila inashindikana na ninatumia nokia e 63
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Device yangu haina mambo mengi kiivyo ila nashangaa card imejaa n internal memory inajaa. Nmejaribu kubaini wapi data zinakimbilia kijihifadhi nmeshindwa. Msaada wakuu
0 Reactions
6 Replies
894 Views
Kazi ya Jamii Forums sio tu kupashana habari, Social Networking,nk. bali pia kusaidiana pale inapowezekana. Nimeona watu wana shida ndogo ndogo katika masuala ya technology upande wa...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Nasikia kitu hiyo ukiwa nayo huna haja ya kuwa hata na DSTV.Nasikia inakamata machannel kibao na inatumia vocha ya sh 5000 kwa mwezi.Nimeambiwa bei yake ni Tsh 300,000,kazi yake ni kama...
0 Reactions
1 Replies
944 Views
heshima yenu wana tech n gadget forum naomba msaada wa kupta sim card slot ya iphone 3gs either dukan au kama unapafaham kokote wanapouza!!
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Habari wana jf wenzangu nina kamera yangu ya picha ya digital inatumia memory card kama ya simu kuhifazia picha.juzi nimeenda studio picha zilikuwa zinaonekana lakini tulipoweka memory card...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi All, Today Monday 20th Jan 2014 we are going to have our Mobile Monday event. This month we are going to look at the Status of Mobile and Online Payment in Tanzania. The...
0 Reactions
1 Replies
788 Views
ARSELONA,NYONDOLOJA na wadau wengine woooote wa masuala ya satellite dishes,kwa hapa dar hiyo satellite naeza pta kwa dish saiz gani na lnb gani ya ku inayofaa?pili naitaka receiver hiyo,je...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie jamani nataka kuchua progra mbalimbali kwa ku dounlod katika internet ili niweke kwenye computer.nimeshindwa kabisa jamani nisaidieni wa Jf
0 Reactions
26 Replies
2K Views
OMG, its a natural death. Nimebaki na moderm tu. No data. Vocha niliweka za mwezi mzima. Hakuna connection. Najaribu kuangalia salio - no response. Mweee customer care je, hakuna majibu. Nikaenda...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
nina pc yangu TOSHIBA nimepiga window 7 bt haidetect device(usb) yeyote,kwaiyo nilikuwa naomba ufumbuzi wa hili tatizo.
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?
0 Reactions
101 Replies
16K Views
Naomba msaada wanajamii, nina laptop toshiba satellite A200. ilikuja na Vista Basic. Nika-install Windows 7. Tangu hapo ikapoteza kuona DVD Writer. Haionekani kabisa. Ila ukiweka CD inaonesha kuwa...
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Wadau mbona chanel zangu leo zinaandika Smart card never paired msaada tafadhali tatizo nn
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina simu yangu HTC wildfire s. Inakataa ku-conect na internet. Nifanyeje? Natumai msaada kutoka kwenu. Ahsanteni.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani wadau. Naombeni msaada wa kupata leather cover ya tecno l3. Mwenye msaada ani Pm tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
530 Views
habari...naomben msaada kwa yeyote anayefaham application ya kusoma novels kwenye cm
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Hold power button and immediately press Vol - . You will print screen of your tecno l3. Without rooting..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom