Wadau natafuta hose(kiunganishi cha kabureta na engine) ya pikipiki yangu tajwa hapo juu. Nimejaribu kuitafuta Moshi bila mafanikio. Mwenye idea jinsi ya kupata spea anijulishe.
Wakuu naomba ushauri, nina laki nane cash...nataka kufanya uamuzi wa kununua simu ya touch screen, nzuri, imara, maridadi yenye kioo kipana. iwe kubwa maana mimi nina mwili mkubwa nataka...
Hii ni ndege itakayokuwa na uwezo mkubwa sana kuli ndege yoyote ya kivita kutengenezwa!
The Future of Military Dogfighters (Full Documentary) - YouTube
Hi guys,
tafadhali naomba mwenye rendering software ya artlantis version 4.1 na key zake aiweke hapa nimekwama sina ujanja.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Hii ni project ambayo nime i-design kwa ajili ya kuwasha taa
au kitu chochote kinacho tumia umeme mkubwa kwa kutumia remote control
kwa umbali zaidi ya mita 10.
REMOTE YAKE
RECEIVER YAKE...
Wadau habari ,natumaini mu wazima na mnaendelea na majukumu .Ninatumia king'amuzi cha zuku ambapo alwayz hulipia package ya zukupoa na kupata stesheni kadhaa ila jana kuna bwana m1 alinipa...
TECNO N9 - Device Specifications
8.0'' HD display together with quad-core 1.2G CPU, TECNO N9 delivers perfect visual experience and smooth operation. With the latest version of Android 4.2 and...
What humans may have looked like 7,000 years agoHunter-gatherer roots, Paleo diet and some possible traces of African genes By Dylan Stableford, Yahoo News...
Salaam sana wanajamvi. Mimi ni Mshauri wa masuala ya teknolojia/tehama pia ni fundi computer. Kwa mara kadhaa hapo awali nimeutaarifu umma kwenye nyuzi kama hizi kama umetokea kukutana nazo...
jaman nimetak kununua laptop lakn ni bora n
iulze kwnza ili nisje juta next tme. Kati ya accer dell hp fujitsu zote zna webcam sasa ip bora na ipo kwnye kwango.
Jf msaada kuweza kufunga kabisa wacweze kuhuck wi-fi yangu kwangua haijukui mwezi bando imeisha. na nimekua nikiona vijana wakiwa maeneo ya Jirani na nyumbani kwangu kila mtu yupo bussy na...
Habar wana jf?
Samahan wakuu laptop yangu ninapo turn on kuna software zinatokea kwenye screen kwa mfano avafind, Blackberry software na nyingine mm sitaki zitokee. Msaada wakuu kuna...
.
The hacker who hacked email
accounts of George W.Bush ,
comedian Steve Martin, Pulitzer
Prize-winning author Diane
McWhorter, Oceanographer Robert
Ballard, and many more officials...
So Wired
From an illustration for Popular Science by John Picaco
South Korea's science ministry is investing $1.5 billion in building 5G wireless service for the country by 2020, AFP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.