Msaada kuweka partition kwenye PC

kioju

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
804
271
Wana JF habr zenu, mie leo nashda moja, kuna laptop ninayo ila haina partition yan nikipga window chin kila kitu kinapotea,
Ila yupo jamaa akanambia niweke partition sasa watu kama mimi BBC (Born Before Computer) sijui pa kuanzia wala pa kuishia, kwahiyo naomba mnisaidie wanajamii jinsi ya kuweka
Nashukuru kwa ushirikiano
 
...sogea kwenye JUKWAA LA "Forum> Educational, Tech & Prof
Tech, Gadgets & Science Forum" wanaIT, kule utasaidiwa haraka!
 
Back
Top Bottom