Ipo Kibaha kwa Mfipa, ni kama 5 toka barabara kubwa inauzwa ml 90. Huduma ya maji na umeme vipo karibu, ina kisima cha maji pia, nyumba kubwa ya vyumba 3 na master. Pia kuna nyumba ndogo yenye...
Hiyo nyumba inauzwa ipo kimara suka ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master na jiko store public toilet na sitting room na dinning Room eneo lina ukubwa wa 25x27 Bei milioni 50
Sehemu: MWANZA USAGARA-NYANGHOMANGO.
[emoji2518] Ina vyumba vitatu kimoja ni master, sebule, public toilet,
[emoji312] Kiwanja cha nyuma kilichobaki 15 kwa 23, unaweza kujenga nyumba nyingine...
Nyumba inauzwa ipo toangoma dar es salaam
-Ina vyumba vitatu kimoja master na vyote vina feni juu na sehem ya kuweka kabati la nguo
-Dinning
-Jiko kubwa
-Sebule
-Choo cha ndani na nje(hiki cha...
Nyumba ni ya familia tunauza.
Nyumba inafaa sana kwa hotel,guest or Airbnb(watalii wengi sana)
Ipo katikati ya mji mkongwe(stonetown),karibu na maeneo yote ya utalii kama forodhani,beach nk...
Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini
Ina vyumba vitatu kimoja master
Jiko, sebule, dinning na public toilet
Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000
Hati miliki mkononi
Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu...
Heshima kwenu!
Boma pichani linauzwa lipo Kichangani,Tanga mjini umbali wa takribani 15km toka katikati ya jiji la Tanga.
Ukubwa wa eneo ni mita 15X20
Boma lina vyumba 7 vyote vina vyoo vyake...
Nyumba zote zote Zina jumla ya vyumba 9, vitano master na vyumba Vinne vimeisha kabisaa na Kuna wapangaji tayri.
Kuna jiko, sebule kubwa, choo Cha public, dining room. Kiwanja kina square mita...
Nyumba Ina vyumba 3 vya kulala vyote master jiko la ndani na nje, mabanda ya uwani mabanda ya Kuku,kisima Cha maji,na eneo la wazi,unaweza hata kujenga nyumba nyingine, Bei ni 25 Milion. karibu...
MBEZI LUGURUNI HOTEL
[emoji3591]INAUZWA BEI POA!!
[emoji3591]TSHS. 950/- MILIONI
(MAPATANO YAPO)
HOTEL IPO JIRANI NA :-
[emoji3591]ST. JOSEPH UNIVERSITY
[emoji3591]OFISI YA MKUU
WA WILAYA...
Nyumba ipo kigamboni vijibwen karibu na ukingo wa Bahari, Ina vyumba 3 vya kulala kimoja master, jiko, store, dining room, sebule kubwa, shimo la choo tayar lishajengwa, maongez yapo. 0652180400
Nyumba inauzwa
Mahali: Goba(Lilian kibo) karibu na njia nne,
Nyumba ipo barabaran kabisa.
*Vyumba sita,
*Hati miliki,
*Umeme upo
*Maji yapo
*Bei 60millions
N.b
Maelewano yapo
Mhusika ni mimi...
Nyumba Ina vyumba 4 vya kulala kimoja master jiko la ndani na nje, mabanda ya uwani mabanda ya Kuku,kisima Cha maji,na eneo la wazi,unaweza hata kujenga nyumba nyingine, karibu Kwa mazungumzo...
Nyumba Ina vyumba 4 vya kulala kimoja master jiko la ndani na nje, mabanda ya uwani mabanda ya Kuku,kisima Cha maji,na eneo la wazi,unaweza hata kujenga nyumba nyingine, karibu Kwa mazungumzo...
Habari zenu wadau,
Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja self,sebule jiko na public toilet,ipo ndani ya eneo la mita za mraba 400,maeneo ya zingiziwa,Chanika.
Bei ni milioni 15
Nyumba Ina vyumba viwili vya kulala sebule jiko na choo Cha public. Ipo kwenye fensi mazingira mazuri.
Ipo kwenye barabara ya mtaa, ipo Kigamboni darajani karibu na daraja la Nyerere.
Simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.