Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
  • Sticky
Habari WanaJF, Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu tabia ya baadhi ya wanachama kufanya mzaha kwa watu wanaotafuta wenza wa maisha kwenye jukwaa hili la LOVE CONNECT. Tunashauri Jukwaa hili...
28 Reactions
145 Replies
60K Views
Jamani unajua "no body is perfect" thats why mimi nimeamua kuongea kuhusu udhaifu wangu katika sector ya mapenzi hasa kwenye kipengele cha "cha maneno ya kubembeleza" so jamani kwa mtu mwenye...
1 Reactions
25 Replies
525K Views
Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa...
33 Reactions
2K Replies
198K Views
Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote anapenda kujituma maji ya kunde urefu futi 5,Mkiristo...
2 Reactions
2K Replies
191K Views
  • Closed
Am a Tanzanian Woman. Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi. Mimi Nimetengana na Mume wangu. Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya...
70 Reactions
901 Replies
185K Views
Natafuta rafiki wa kike ambae huenda baadae akawa mke wangu. Sifa zangu ni: 1. Mtaratibu 2. Mkarimu 3.Mrefu wastani 4.Mwenye ya mungu 5.Mwenye heshima na upendo 6.Umri wangu miaka 23 Awe...
0 Reactions
2K Replies
143K Views
Wakuu salaam. Kwa malezi niliyolelewa mimi sistahili kufanya ili jambo, pia kwa mila na desturi za kiafrika sistahili kufanya hiki kitu, lakini huu moyo ni wangu, na mmiliki wa moyo wangu ni...
88 Reactions
2K Replies
129K Views
  • Closed
Habarini za jioni wana jamii wenzangu, Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana...
42 Reactions
462 Replies
118K Views
Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa.. Jamani hii title imeanza kupunguza uzito wake hapa Love Connect. Hili ni jamvi la Love Connect but inaonekan sasa kama vile linakua la People Connect...
58 Reactions
285 Replies
112K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28,mkristo nasali romani catholic na nimeokoka,elimu yangu ni shahada ya uzamili yaani masters,nina kazi nzuri tu na ni mwajiliwa wa selikali, rangi ni maji...
9 Reactions
143 Replies
110K Views
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV! Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana. Awe sura...
18 Reactions
442 Replies
86K Views
wanaomba mshiko kupitia Pm hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious hapa jamvini!
8 Reactions
44 Replies
84K Views
Natafuta rafiki wa kike (girlfriend) wa kubadilishana naye fikra na uzoefu wa mambo mbalimbali. Wasifu Wangu Mfupi kiasi, 5'5 ft, Maji ya kunde Umri,miaka 28 Ni mkristo Nina kazi Napendelea...
0 Reactions
482 Replies
76K Views
Salaam kwenu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu...
65 Reactions
1K Replies
76K Views
  • Closed
Wakuu kumekuwa na ongezeko kubwa la wadada wanatafuta wachumba humu JF, kama umewai kupata mwenza kupitia JF ..comment neno "ndio"
5 Reactions
695 Replies
70K Views
Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na...
17 Reactions
220 Replies
52K Views
  • Closed
Kama wewe ni kijana mwenye umri usiozidi miaka 30 na unajiamini kuwa unauwezo wa kuniridhisha Na una maumbile ya kutosha tuwasiliane, napatikana msasani. I'm 40's..... Gharama zote ni juu yangu...
5 Reactions
139 Replies
51K Views
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali...
15 Reactions
283 Replies
50K Views
Za usiku wana MMU, Kiroho safiiiii,napenda nifunguke kwamba moyo umemdondokea and i feel something for mtajwa hapo juu, Money Stunna utakapoona huu u'thread basi uje utoe statement...
15 Reactions
652 Replies
49K Views
Nampenda Madamu B naitaji kujua je ni msichana, na kama msichana je kaolewa, kiukweli nimevutiwa sana na coment zake post na jokes nyingi ambozo zilitengeneza isia za mapenzi juu yake mara nyingi...
27 Reactions
778 Replies
48K Views
Back
Top Bottom