JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu naomba ufafanuzi kuhusu haya magari tunayoagiza kutoka Japan! Unakuta gari ya mwaka 2006 imetembea kilomita 134,000 Je, hii ni sawa? Nimeangalia Noah nikakutana na mambo nisiyoyaelewa, kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa katika kupambana na maisha ubunifu ni muhimu sana. Itumie akili yako katika kubuni mipango ya maendeleo. Akili haitakiwi kukaa bila kuwaza kitu hivyo usipowaza ya maana utawaza ya upuuzi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wajuzi wa magari naomba muongozo hapo kati ya hizo gari mbili kwa kuzingatia; A, comfortability B, long safari C, Spareparts availability & reasonable price D, Durability.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari! Kuna gari nimeanza kulitumia nina mwezi sasa (mercdes benz c 220, 1995 model ) shida ipo kwenye reverse transmission. Nikiwa kwenye muinuko kidogo linagoma kurudi nyuma, ni kama...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Nissan and NASA are aiming to conquer earth and space with their own fleet of self-driving cars. The two companies have entered a five-year deal that will eventually produce a line of...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Wakuu nimevutiwa sana na hizi gari hasa yenye CC tajwa hapo juu, je ulaji wake wa mafuta ukoje, na upatikanaji wa spea na ukoje? technical problems, if any? thanks cc: Zanzibar Spices
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Sasa... Niko Bongo. Nissan yangu xtrail inahitaji services ya nguvu. Nimesikia Nairobi waweza pata spare parts za nissan xtrail kwa bei nzuri, mtaa sijui unaitwa Dar es salaam kama sikosei. How...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Shirika la viwango Tanzania TBS wametoa ilani kwa watanzania kuwa makini na oil hizi-ambazo ziko chini ya kiwango hivyo ni hatari kwenye magari yenu: 1. Motor oil ( Super plus SAE40) 2. Diesel...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari ya siku ya leo na poleni kwa misukosuko ya kuumaliza mwezi na maandalizi ya mwezi mpya. Nina gari yangu hiyo katika picha, ni Honda CRV model ya mwaka 1995, engine yake bado iko vizuri...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Habari zenu, kwa yoyote anayejua bei za pikipiki coz najua maduka yalipo ila naamini kuna wataalamu ndio maana ikawepo JamiiForums! Bei ya wave 110i dukani ni bei gani? Na bei ya used ni bei gani?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hiyo ni kwa mujibu wa TRA. Sasa katika bunge la bajeti Waziri wa Fedha alisema amewaondolea kodi waendesha pikipiki. Matokeo yake hata Baiskeli wanapaswa kulipa kodi. Kinachonishangaza ni suala la...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
The inevitable has happened. There are only so many possible permutations of a metal box on four wheels designed to go fast over any terrain, and from the Jeep Wrangler to the Range Rover, all of...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
A pure, rendered science-fiction; here’s the Mercedes-Benz’s environment-friendly, modern and cool SUV, the ‘Ener-G-Force’ which has been described to be the vision of an off-roader that, while...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hali zenu JF! Yaani nmekua napata usumbufu kweli. Huyu fundi muda mwingi ananidanganya sana. Kitabu nlipewa cha lugha ya Japanes....nakua nashindwa kuelewa vizuri. Naomba alie nacho nikakipigishe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The 747-8 keeps its predecessor's humped shape, but is longer to allow for more seats and cargo space US company hopes longer, more fuel efficient update of its emblematic jumbo jet, will...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF Humu ndani naamini kuna wataalam wa magari. naomba msaada wa kujua tofauti kati ya model mbili za Toyota Harrier kuna model code TA-ACU15W na ACU15W. Nini tofauti zake na ipi ni bora...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
LimousinesWorld, a company building luxury limousines and executive cars for more than 30 years, has now made available the new Mercedes limousine, which enjoys a striking custom-designed interior...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
We don't know who is to blame for leaking these scrumdidlyumptious images of the 2009 Mercedes-Benz SL, but we're glad they did. These 34 high-res images give us a sneak peek at what Mercedes has...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom