Nini tofauti ya harrier ta-acu15w na acu15w?

NGAUTI

Member
Jun 6, 2008
21
2
Wana JF
Humu ndani naamini kuna wataalam wa magari.
naomba msaada wa kujua tofauti kati ya model mbili za Toyota Harrier
kuna model code TA-ACU15W na ACU15W.
Nini tofauti zake na ipi ni bora zaidi?
shukrani
 
mimi ni mtaalam wa harrier Jet fighter. ni ndege ya kisasa ya kivita ambayo haihitaji run way ku take off. ina nyanyuka kama helcopter then ina change system na kuwa na power kama supper fighet jet zingine kama H35
 
Du!!! walimu kwa kweli wanakazi ngumu sana. Maana unakuta umeuliza swali lakini mwanafunzi anatunga la kwake na anakuwa amelijibu kwa usahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom