Msaada kwenye tuta: Haya magari tunayoagiza ndIo yako hivi?

Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,315
7,113
Wakuu naomba ufafanuzi kuhusu haya magari tunayoagiza kutoka Japan!

Unakuta gari ya mwaka 2006 imetembea kilomita 134,000 Je, hii ni sawa? Nimeangalia Noah nikakutana na mambo nisiyoyaelewa, kwa mfano mengine wameandika TA-AZR60/65G, DBA-AZR60G, CBA- AZR60, AZR60G na kwenye CC wameandika 1990cc 1AZ, mengine 1990cc (bila hiyo 1AZ) sasa haya ndio madudu gani? Na kati ya hizo ipi imekaa vizuri (uzuri na ubaya wake ni upi?) Hapo kwenye mileage ndio tunayonunua yako hivyo?

Natanguliza shukrani!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom