Service ya Gari: Nissan xtrail huko Nairobi

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,357
3,539
Sasa...

Niko Bongo. Nissan yangu xtrail inahitaji services ya nguvu. Nimesikia Nairobi waweza pata spare parts za nissan xtrail kwa bei nzuri, mtaa sijui unaitwa Dar es salaam kama sikosei. How cheap are they?! I mean genuine ones?,

What is the best way to do it you suggest, either I bring my car there or I just come there to buy the spare parts then nitengenezee hukuhuku bongo

Thank you
 
Back
Top Bottom