Nissan and NASA join forces to build self-driving cars

Msamiati

R I P
Mar 6, 2011
1,063
697
Nissan and NASA are aiming to conquer earth and space with their own fleet of self-driving cars.

The two companies have entered a five-year deal that will eventually produce a line of zero-emission autonomous vehicles.

According to Wired, the project is being considered an "R&D effort" and will mostly be headquartered at NASA's Ames Research Center.

Unlike other self-driving cars we've seen so far, Nissan and NASA's effort will be designed to operate on earth as well as distant planets in space.

NASA recruited Nissan so it could eventually add that autonomy to its space vehicles, which need to drive better independently as the space agency investigates more dangerous locations.

Meanwhile Nissan has apparently been testing self-driving car technology for a while on its own Nissan Leaf, but has failed to produce a worthy prototype.

By combining forces, the two companies hope to create a system that's both fast and smart enough to adapt to urban environments which have changing variables such as pedestrians and construction.

"This is a perfect blend of the capability of what the robotics folks at NASA Ames have and the autonomy that we bring," says Maarten Sierhuis, the director of Nissan's Silicon Valley research center, who also spent ten years as a NASA senior scientist.

"The timing is right because we are ready to start testing" the ability to autonomously navigate city streets.

Nissan and NASA plan to have an actual car on the road by the end of 2015, with mass production kicking off around 2020.

Source: t3.com
 
sidhani kama unaweza kutengeneza gari kama hilo bila ya data za nokia au google. maana utahitaji ramani ambazo zina coverage kubwa zitakazoliongoza gari kila sehemu na sensor za kutosha
 
sidhani kama unaweza kutengeneza gari kama hilo bila ya data za nokia au google. maana utahitaji ramani ambazo zina coverage kubwa zitakazoliongoza gari kila sehemu na sensor za kutosha

Mkuu NASA ni baba ya Nokia na Google sasa unavyosema bila wao haiwezekani, nakuwa sikusomi. Hebu ingia kwenye internet ufanye utafiti NASA ni kampuni kani na inahusika na nini na imeanza operation zake tokea lini
 
kuwa kampuni kubwa si hoja, apple ana hela kushinda serikali ya marekani lakini hilo halimfanyi kuwa anajua kila kitu.

apple alijaribu kushindana na nokia na google kwenye issue ya ramani na tunajua nini kilitokea watu hali leo wakiangalia nyumba zao wanajiona wamezungukwa na bwawa. sasa kampuni kama apple ikiwa na database kubwa kama ya tomtom ilishindwa na kitu kidogo kama ramani za kawaida why unafikiri nasa wataweza self driving car?

now kuna makampuni kibao yanatengeneza self driving car ila sijawahi kuona kampuni hata moja ikitumia data ambazo sio za google au nokia

naweza kua sipo sahihi ila unatakiwa uniaminishe kuwa sipo sahihi kwa reason na ushahidi kuwa nasa ana database kubwa ya ramani kushinda nokia na google.
 
Kama unafahamu NASA wana deal na nini wala usingeweza kuniambia nikupe reasons
 
Kama unafahamu NASA wana deal na nini wala usingeweza kuniambia nikupe reasons

kwani haya magari yanaenda mars? yatataka kupita mitaani na vichochoroni ambako huko google na nokia wanakufahamu zaidi.

umeanambia nifanye research za nasa sasa narudi na majibu.

1.nokia ni babu wa nasa na sio kwamba nasa ni baba wa nokia

-nasa imeanzishwa mwaka 1958
-nokia imeanzishwa 1865

hivyo nokia wakati ina miaka 93 ndio nasa inaanzishwa. kiumri huu tunaoishi siku hizi nasa anaweza hata akawa kitukuu au kilembwe cha nokia.

turudi kwenye magari yanajiendesha yenyewe

invention ya nokia ya kuzuia ajali.
ni vigumu kupata habari za nokia kwa dunia hii iliojaa vyombo vya habari vya kimarekani hivyo sikulaumu ila linapokuja suala la ugunduzi nokia ni habari nyengine kaka. nokia amegundua njia ya magari kutopata ajali hata iwe bado millisecond 100 yaani chini ya sekunde. kutumia njia hii magari yatakuwa yanaongea yenyewe na yatajua kuwa tunaenda pata ajali hivyo yatasimama.

wamewezaje nokia kufanikisha hili?
-kupitia ramani zao here maps
-kupitia nokia solutions networks- minara ya simu kama ya tigo, voda

ipoje invention yenyewe?
HazardousSituationWarning_22.jpg

imagine situation kama hio apo juu lori limemziba mwenye pikipiki na gari linakuja, kikawaida hapo ajali inaweza tokea lakini kama magari yapo connected na minara ya simu na ramani zinaona wanaenda kupata ajali basi lori hapo litatoa signal kwa pikipiki isimame hivyo kuzuia ajali.

HazardousLocationWarning_21.jpg

mara ngapi gari limeharibika njiani then linasabisha ajali? hasa maeneo ya kona? njia kama hii ni rahisi kabisa gari/pikipiki moja tu ikiona kitu kama hicho inatoa signal kwa wenzake wa nyuma hivyo kuzuia ajali. hio ndio maana ya nokia connected cars

sasa brother imagine wewe ndio CEO wa Toyota au Volkswagen je utampa tenda NASA na mars rover zake au utampa tenda nokia?

kila magari 5 manne yanakuwa powered na here maps
stats hio inaonyesha asilimia 80 ya magari yote yenye ramani yanamtegemea nokia kuwapa map data, hivyo hata wakitengeneza gari la kujiendesha lenyewe ni rahisi kumfata nokia.

mercedes benz prototype yao ya gari la kujiendesha lenyewe
Mercedes showcases self-driving S 500 powered by HERE - HERE 360

wakati prototype ya mercedes ipo barabarani, prototype ya google ipo barabarani nasa na nissan wao wanasema mpaka 2020, je wewe unaonaje? nasa ni babkubwa au nokia na google ndio wakali kwenye self driving car?
 
Chief-Mkwawa

sasa nani wa kwanza ku invent GPS system?

gps imekuwa invented na jeshi la marekani department ya defense, au ni NASA ALOGUNDUA? NA pia siku hizi imekuwa standard so usifikiri watu wanatumia ile gps ya marekani tu.

hivi ushakaa ukajiuliza why ukitumia kifaa cha gps unaambiwa uwe exposed pande zote za dunia usifiche na majengo? ingekuwa inatumia satelite tu za marekani basi wangetaka uwe exposed upande mmoja tu, mimi nina utaalam kidogo na simu hivyo nitakuelezea kwanini kubase na simu

kwa sababu gps ni standard hivyo watu wanaruhusiwa kuimodify na kuieka wanavyotaka wao, kuna kitu kinaitwa GLONASS ni kama gps ya warusi inatumika alsmost kwenye simu zote za kisasa kuanzia iphone 4s hadi 6, lumia zote, samsung, acer na wengine. WHY Wanaeka hii GLONASS? wanieka ili kuweza kutafuta position yako upesi, inamaana ulipo satelite ya marekani itakupoint na satelite ya urusi itakupoint then kwa uhakika watajua upo wapi na simu itafanya kazi kwa ufanisi

isome zaidi glonass
GLONASS - Wikipedia, the free encyclopedia

pia kuna galilleo ya ulaya ambayo ipo jikoni

so brother kama unafikiri gps ni ya nasa upo wrong
 
Last edited by a moderator:
Chief-MkwawaHebu thibitisha kama Nasa hana dataabse kubwa ya ramanani. google mwenyewe anachukua ramani kutoka Nasa

kabla sijathibitisha ngoja nikuulize swali why wawe na ramani ya dunia kila kichochoro? maana haiwahusu dunia hawa jamaa ni watu wa space, sayari zimeisha hadi waanze ku explore dunia? wenzetu sio kama sisi hawatumii hela za wananchi kufanya mambo yasiyowahusu.

nasa anaweza kuwa na satelite images za dunia lakini ramazi zilizo sahihi hutengenezwa ardhini. shule ya msingi tunafundishwa kuwa ramani zinatengenezwa kwa kutumia aerial image ila nimekua nimeona ni habari ya kizamani siku hizi watu wanatengeneza ramani na magari humu humu ardhini kwani ndio ramani sahihi.

angalia gari la google likitengeneza street view na hizo camera special ambazo zinaona nyuzi 360
A-Google-Street-View-car--010.jpg

Google-takes-its-Street-View-feature-to-the-lanes-of-Venice-in-Italy.jpg

na pia ramani sio ndani tu siku hizi kuna indoor maps, watu wanapotea ndani ya malls au supermarket hivyo hadi huko wanatengenezewa ramani

kitu ambacho google anachukua kwa nasa ni google earth ambayo inaonyesha dunia tokea kwa nje kitu kama hichi
earth.jpg

lakini ramani za dunia za ndani ni google/nokia wenyewe ndio wanatengeneza kwa magari yao wenyewe na satelite images

here_car_sideview.jpg
 
Nashukuru kwaa majibu yako mazuri, nimekulewe na nimejifunza kitu hapa kuhusu ramani.
 
Chief-Mkwawa

sasa nani wa kwanza ku invent GPS system?

chief mkwawa achana na huyu kijana, unackia wewe iamallymtambo hili jukwaa inawezekana si saiz yako maana hata kwenye jina lako umeweka neno mtambo!!! na watu pia unaobishana nao si sazi yako, kua sequential, umeuliza maswali unajibiwa badala na ww kuleta hoja unaendelea kumbwela, either sema hujui ueleweshwe au weka point zako badala ya kuongea mambo kama ungewajua sijui nasa usingeuliza!!!! hili ni jukwaa la science na tech tunauliza swali lolote mda wowote na tunategemea majibu ya kisayansi na technolojia sio kuuliza maswali ya mitego kama uko kwenye jukwaa la ubishan wa kidin au siasa gadeeeeem!!!!
 
Mkuu achana na huyu jamaa anajifanya anajua sana simu mbona hatujawahi kuona brand yake? kazi kusifia au kuponda vilivyotengenezwa na wanaume tu

mchambuzi wa mpira si lazima awe kocha. Chief mkwawa wa siku nyingi kwenye hili jukwaa na mawazo na mchango wake unatambulika na katoa msaada kwa wengi.
Hapa hakuna kujifanya kwamba unajua as long as una facts na sources unaweza argue naye ka argue kwa kukupa sources na facts kama kuna mwenye facts na sources tofauti naye aweke otherwise kusema anajifanya anajua lakini hajawahi tengeneza brand yake ni kupiga porojo tu.
 
Mkuu achana na huyu jamaa anajifanya anajua sana simu mbona hatujawahi kuona brand yake? kazi kusifia au kuponda vilivyotengenezwa na wanaume tu

we jukwaa linalo kufaa ni Mmu, inaonesha una akili ndogo sana we jamaa, CHIEF MKWAWA nijuavyo yupo hapa to help civilian na watu weng wamenufaika na michango yake, kikubwa uyu jamaa majibu yake yanaenda kwa reasons, na sio fucken and shit zenu.. nimefwatilia toka mwanzo naona we na wenzako ni ubish tu usio na hoja ... HUKU ATUITAJI NGONJERA TUNATAKA FACTS & Reasons zilizoshba kama za mkwawa...
 
Hamna kipya anachokileta hapa zaidi ya kukesha kwenye google mimi sipo hapa kumbabaikia mtu akileta za kuleta namchana tu
 
Back
Top Bottom