Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za mchana madaktari, wabobezi pamoja, watalaam na wajuzi juu ya masuala ya afya ya watu. Ninaomba ushauri juu ya tatizo la mtu ambaye ana shida hii ya kupata mtoto. Hapo awali alienda...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nimepima uzito Wa mwili wangu Nina kg 66 kimo 178 umri 21 je body mass index yangu inaendana kiafya?
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Jaman vijana wezangu mm nilikuwa napiga sana masterbation au kujichua sasa misuli ya uume wangu umelegea sana na ombeni ushahuri kwa yoyote anaejua dawa ili nilejee kama awali
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Daktari Feki Afanya Upasuaji Wagonjwa 9 na Kufariki Mmoja, Apewa Ofa ya Kujiendeleza Kielimu KENYA: Kamati ya maswala ya afya nchini Kenya imependekeza daktari feki aliyekamatwa nchini humo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
Wanajamvi hodi humu ndani...Nina tatizo ( nahisi) kwa maana nikikutana mpenzi wangu siwezi kupiga bao mbili naomba msaada wa mawazo non nifanye jamni katika hili ? Naomba wajuzi wa mambo mnijuze...
1 Reactions
Replies
Views
Habari za leo wana jf nimekuja kwenu tena nikiamini nitapata msaada au njia ya kupata ufumbuzi wa tatizo langu. Mimi ni binti wa miaka 25 nina tatizo linanisumbua mwaka wa tano sasa kila...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msaada wenu wakuu, Kwa hapa Dar wapi kuna machine za kufanyia kipimo cha CT scan na wanafanya kwa bei nafuu? Nataka nimpeleke wife akapime kichwa. Ningependa kujua gharama kabla hatujaenda...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
  • Redirect
Heshima zenu wakuu, Nimekua nikiona watu wengi sana wakipotosha uma kua kula chipsi yai hupelekea kupungukiwa nguvu za kiume. Maranyingi watu wamekua wakitumia mitandao ya kijamii kupotosha uma...
3 Reactions
Replies
Views
Dokta naomba kusaidiwa, Nimetumia antibiotic mwezi huu naona siku zangu zinapitiliza siingii kwenye mzunguko wangu wa mwezi kama mwanamke. Je, inaweza ikawa ni side effect ya dawa niliyotumia...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wadau..? Mim ninamtoto ametimiza mwaka siku chache zilizopita, mwanangu anatatizo la kugoma kula, najua mtasema ni kawaida ila I wish mngepata nafasi ya kumuona maana wapo waliosema ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
PARIS: People who shave, wax, or trim their pubic hair are at higher risk of sexually-transmitted infections (STIs), but less likely to get lice, a study suggested on Tuesday. A survey of more...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Kama kinavo jieleza kichwa cha habari hapo juu. Elimu ya uzazi wa mpango imenipita mbali hivyo upo uwezekano nikaaharibu future ya maisha yangu. Kwa mwenye utaalam anielimishe, nisije kurudia...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
wapendwa,hivi kama mwanamke amejifungua kwa operation,anaruhusiwa kujamiiana baada ya muda gani? Coz,kuna mshono tumboni, na hata kama mshono utakuwa umepona,kutabaki na kovu! Je,hii haitaathiri...
0 Reactions
21 Replies
64K Views
Habari wakuu; Jamani mimi naomba kujuzwa kwamba hivi mtu akifanya mapenzi halafu akakaa wiki moja,je akienda hospitali kupima je vipimo vitaonesha kuwa alifanya mapenzi? Naomba kujuzwa maana mimi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Yoga Pranayama Cures 140 Diseases - Swami Ramdev Ji on Indian TV Channels Creating a "Disease Free Society - Medicines Free World" Swami Ram Dev Ji has been daily declaring on Indian TV...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Wadau habarini za jioni...!!! wapendwa nakuja tena mbele yenu, nina mgonjwa wangu amepatwa na tatizo la stroke na yupo hospitali kwa matibabu ila tangu alazwe sasa ana wiki moja isipokuwa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanaJF, nimeanzisha website ya mambo ya afya ambayo nipo wa mtaaalam wa mambo ya afya kwaajiri ya articles . Karibuni sana kwenye website hii kwa maoni zaidi. Nipo bado kwenye...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
FAIDA ZA TANGO 1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini. 2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B. 3. Kusaidia kutunza ngozi. 4. Kuongeza maji mwilini. 5. Kukata hangover...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Redirect
Habari wakuu naomba tutumie uzi huu kushaurina dawa mbalimbali zinazosaidia kupambana na tatizo la chunusi iwe umeshwahai kuitumia ikakusaidia au kuna mtu unamfahamu kaitumia ikamsaidia naanza...
1 Reactions
Replies
Views
Mara nyingi inakutokea baada ya kuugua homa mfano malaria kali, umelala kitandani siku mbili, siku ya kwanza ulishindwa kula kabisa, baada ya kutumia dawa ulitoka jasho sana, na sasa unasikia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom