Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini wana JF Kwanza kabisa natambua kuwa Tiba yoyote ile ni imani lakini sio imani tuu lazima na tiba ifanye kaZi Kwasasa hasa hapa nchini kwetu Tanzania kumekuwa na Tiba asilia nyingi...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Nina rafiki anatatizo la warts sehemu za siri, Mwanaume, na anaomba msaada kwa anaejua Dokta mzuri wa kutibu hili tatizo, yeye anaishi Dar. Mungu awabariki.
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Jamani kwa wale mnaojua au mliowahi kutumia dawa ya huyu binti Dr Rahabu ambayo inasemekana kutibu vidonda vya tumbo. Ni kweli hii dawa inatibu?
0 Reactions
62 Replies
25K Views
kwa wanawake ambao mimba zinatoka na wale wanaozaa kabla ya muda. pata tiba sasa ni pm
0 Reactions
1 Replies
635 Views
(i)maana (ii)visababishi(iii)pathofizolojia(iv)dalili(v)matibabu(vi) wajibu wa muuguzi(vii)vipimo/uchunguzi(ix)madhara
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mnielimishe jinsi ya kungarisha meno yawe meupe kabisa
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Edmark tz(approved by TFDA) Splina Liquid Chlorophyll - possesses 3 main functions; cleansing, balancing, and nourishing. These enable us to have a stronger body and better health. 1. Cleansing -...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawasalimu wanajamvi me ni mama Wa mtoto mmoja (nimeolewa) tatizo linalo nisumbua ni kuwa mkavu sana wakati Wa tendo la ndoa Sio kwamba Mume wangu aniandai apana! ananiandaa vizuri tu ila nakua...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
MAMBO vp wadau . iv ni kweli kwamba mtu akitumia dawa za asili kwa wing hupata mazara yoyote kama asali
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Hivi ni kweli haya Madawa ya Kupunguza unene ama Uzito ni kweli yanafanya kazi ama ni utapeli tu Hawa jamaa wanafanya kuwaibia watu maana siku izi kiukweli makampuni na maduka yanayojihusisha na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari doctor, kuna kina dada huwa tunawaona, wanakuwa soft tu ila wakibeba ujauzito wanakuwa na chunusi nyingi usoni. Je kitaalam nini kinasababisha? Tiba yake ni nini?
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari za majuku nimebahatika kupata mtoto wa kiume ck ya 21-11-2015 leo anatimiza wiki ya 3 tokea azaliwe amekuwa akipatwa na tatizo la mafuta kumkataa mara ya kwanza alikuwa anatumia dinamarious...
0 Reactions
10 Replies
15K Views
Hello members. Ninatoa ushauri kuhusu kupunguza uzito wa mwili na mimi mwenyewe nikiwa mfano kwa jinsi nilivyoweza kupunguza kilo 45 ndani ya mwaka mmoja kwa kufanya mazoezi na kula mlo sahihi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wana JF Kwanza kabisa natambua kuwa Tiba yoyote ile ni imani lakini sio imani tuu lazima na tiba ifanye kaZi Kwasasa hasa hapa nchini kwetu Tanzania kumekuwa na Tiba asilia nyingi...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Sio watu wote wanaopata muda wa kufanya mazoezi Wengine wapo busy ma ofisini kwao Njia rahisi ya kutoa kitambi kwa usalama bila kuudhuru mwili ni kutumia product zetu za mimea na matunda...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ninatatizo la Bp ya kupanda na natumia dawa za presha. Tatizo linalonisumbua ni uwezo wa kusikia umepungua na uwezo wa kunusa nao umepungua vilevile nasikia mvumo wa kelele kwenye sikio naombeni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana, Siku chache zilizopita niliugegeda mchepuko mmoja hivi,so baada ya siku 4 nikajikuta mbele ya kichwa cha Dushelele kuna ute kama usaa, pia nikikojoa mkojo dushe linauma...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
A new report from the International Agency for Research on Cancer (IARC ) Explores the global burden of cancer, which is poised to become the leading cause of death worldwide by 2010. World Health...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Anasumbuliwa na tumbo baada ya kujalibu kutoa mimba ya mwezi mmoja kwa kutumia dawa ambazo mbili unameza nyingine unaweka chini ya uke karibu na kizazi. Afanyaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanaukumbi kwanza nawasalimu nyinyi nyote mtakaosoma post yangu hii.Nirudi kwenye mada, ninaye mpenzi ambaye tumedumu naye karibu mwezi mmoja na nusu yeye anakaa kwake amepanga nyumba na mimi...
0 Reactions
101 Replies
39K Views
Back
Top Bottom