Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Tatizo nini wadau nimekua nikipitia hii hali mwezi sasa uchachu mkali kama chuma chuma hivi, Msaada kwa anayejua tiba ya ugonjwa huu. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Kwa kawaida wanawake matiti hutofautiana kwa ukubwa ingawa Sio sana kuonekana, Lakini kuna tofauti Hiyo huzidi mfano titi moja limesimama lingine kandambili kabisa, je ni tatizo gani? Msaada plz
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi mtu anapokuwa na ngozi ngumu sana alafu hata akipaka mafuta bado anapauka. Tatizo ni nini hapo na dawa yake ni nini?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cucumber is VERY Alkaline. Cucumber Juice is EXTREMELY good for your Hair, Skin and Nails. It Really is True. Cucumber Juice is High In Potassium. Cucumber Juice can Lower Your Blood Pressure...
1 Reactions
8 Replies
18K Views
Wanajamii habarini za muda huu. Naombeni kuuliza hivi ile dawa ya unusukaputi au ganzi ya mwili mzima inauzwaga wapi?
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Salama waungwana? Kwa anaefahamu wapi katika jiji la Dar es Salaam anapatikana daktari mtaalamu wa afya ya uzazi na magonjwa ya wanaume. Nahitaji daktari wa kisayansi sio wa tiba za kienyeji au...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
AFRIMEC kupitia huduma ya Mydoctor inazid kua karibu nawe baada ya kupata response kubwa kutoka kwa wateja wetu nasi tunazid kua karibu nawe kwa kukuwesha wewe mwenye sim isiyo na internet kuweza...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Allah says: "Eat and drink, but be not excessive. Indeed, He does not like those who commit excess." [Quran Surah al-A`raf: 31]- Some scholars have commented on this verse, saying: Allah has...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Watu wengi wana chunusi na ngozi zenye mafuta mengi, naomba kujua tiba.
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Meno yangu yanachimbika. Nimejaribu kusukutua mara tatu kwa Siku lakini bado tatizo linaendelea dawa mbalimbali za meno nimetumia lakini bado.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu eti ni kwa nini 80% ya wanywa bia wanavitambi sana wakati walevi wenzao wanaokunywa gongo 80% ya wanaokunywa gongo wamekondeana mpaka wanatisha? Wakuu kwa nini kuna tofauti hii?
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Nina jamaa yangu mmoja anajali usafi Sana Ila anasumbulia na kifua lakin sasa inzi wanamfuatafuata but jamaa anajipenda Sana na Kila siku hakosi perfume kwenye nguo zake je hizi Ni dalili za...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Habari waungwana wanaJF, 1. Nataka kujua kuna dalili zipi zinazomjulisha mjamzito kwamba mtoto ameshageuka kichwa chini? 2. Nina ujauzito wa 34 weeks ila nashinda na kopo ndani la kukojolea...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Habari za weekend wana JF, Ni hivi kuna hali imenitoka pindi ntakapofaya mapenzi kwa kutumia kondom huwa nachelewa sana kumwaga shahawa ila nisipotumia Kinga dakika 15 tu nakojoa ila ikivaa...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Mwanangu anaumwa jamani vipimo vyote kapima vinaonesha hana maleria, wala ugonjwa wowote. Hamu ya kula hana, homa juzi ilikua 38 hospitali wamuandikia sindano za masaa Cristapen nne, alikua...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanajamvi Naomben msaada kama kuna mtu anasafiri kutoka Mwanza kuja Morogoro au Dar, nimuelekeze anichukulie dawa njian pale Lunele kabla haujafika Hungumalwa. Nasumbuliwa na jicho linaniuma pia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hebu jamani kama kuna yeyote anajua kuhusu vidonda veupe vinavyotokeaa kwenye fizi au ndani ya mdomo ambavyo kitaalamu vinaitwa CANKER SORES na tiba yake..
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Wataalam wa humu JF napenda kuomba msaada wenu, kuna mwanangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kuota sugu katika unyayo wa mguu na hupata shida wakati wa kutembea akanyagapo ardhini hapo mahali hapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye kufahamu dawa madhubuti ya STDs (magonjwa ya kuambukiza) kama Kaswende, UTI na mengineyo anisaidie.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wana JF Kwanza kabisa natambua kuwa Tiba yoyote ile ni imani lakini sio imani tuu lazima na tiba ifanye kaZi Kwasasa hasa hapa nchini kwetu Tanzania kumekuwa na Tiba asilia nyingi...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Back
Top Bottom