Maoni yenu kuhusu platform hii ya afya!!!

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
795
658
Habari wanaJF, nimeanzisha website ya mambo ya afya ambayo nipo wa mtaaalam wa mambo ya afya kwaajiri ya articles . Karibuni sana kwenye website hii kwa maoni zaidi. Nipo bado kwenye development...

Nawakilisha asanteen sana karibu tujifunze mambo ya afya.

Afyazone - Ask experts about your health
 
Sijafurahia kabisa!!!!!
1. Lugha ya Kiingereza
2. Yaliyomo hayana tofauti na tunayosma Yahoo, BBC, ... Naona ni kama copy and paste.
3. Sio interactive platform. Hakuna sehemu rafiki ya kujisajili. Labda kwa wanaotumia PC..
 
Asante kwa marejesho mtaalam
 
Back
Top Bottom