Mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa makosa.
Makosa yanaweza kufanywa na yoyote anae husika moja kwa moja na kinacho fanyika ndani ya pitch.
Makosa yanaweza kufanywa na mchezaji.
Makosa...
Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze...
Leo saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki Simba Queens watashuka dimbani kumenyana na AS Far Club ya Morocco.
Ikumbukwe kuwa Simba Queens ndio wawakilishi wa ukanda huu wa Afrika...
Nisikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane.
Kwanza nikili mimi ni shabiki wa Young Africans(Yanga), baada ya kukosa muda wa kuitazama ile mechi ya Yanga na Geita kwasababu ya ubize niliona...
Ktk kipindi cha kipyenga cha mwisho kinachorushwa na Azam sports 1 HD, refa mkongwe Othman Kazi amefafanua kuwa mfungaji wa goli la Geita vs Yanga alikuwa ameotea. Pia, penati ya Yanga haikuwa...
Simulizi ya MK14 Meddie Kagere
“Mimi si muongeaji, naamini kila kitu kina sababu na hakiwezi kuwa na mwisho, katika soka kocha ni mtu ambaye anaweza kumfanya mchezaji kuwa kwenye ubora wa hali ya...
Mchezaji Kama Bigirmana, Makambo na Kisinda sio wachezaji wa kucheza Yanga
Naomba dirisha dogo Hawa wachezaji waondoke haraka ni takataka
Lomalisa watu wanamponda lakini kwangu Mimi ndiye beki...
Yale mabilioni yaliyobebwa kwenye viroba yanavyotumika,fitna zinazofanywa,lakini bado asilimia 60 ya wanachama wenu ni waganga wa kienyeji..na hamtoboi kimataifa,huu tunaweza kuuita uwendawazimu...
Wanasimbaaaaa,
Kweli kupoteza ubingwa last year na msimu huu kupoteza game muhimu za ndani zinatuwehua sana lakini kuna values lazima tuzilinde.
Timu yetu imefanya vizuri zaidi ya misimu 4 ndani...
Jana wakati wa mechi ya Yanga na Geita nimemsikia zaidi ya mara 3 mtangazaji wa Azam sports ambaye alikuwa mtangazaji wa mechi hiyo.
Alisema kuwa Saido Ntibazonkiza alikuwa akicheza ligi kuu ya...
Wakiwa wanacheza soka la kuvuta hisia mujarabu na kuburudisha watazamaji walio wengi, soka ambalo limethibitishwa na Shirikisho la Kabumbu Barani Afrika CAF, Mnyama Mkali Mwituni Simba SC leo Juni...
Kutokana na kuwa Simba wanaendelea kupata matokeo mazuri kumekuwa na kelele kila kona kutoka kwa Mashabiki wakitaka Mgunda apewe timu kamili kama Kocha Mkuu.
Na Viongozi wa Simba ni kama vile...
Wanalunyasi nawaalika kuja kutoa dua na sala ili timu yetu icheze kwa amani pia ishinde. Kumbukeni sisi huwa hatushindi ushindi wa kununua, kwahiyo huwa tunashnda kwa kutumia maarifa na ujuzi wa...
Original post and source
Shaffii source yake ikiwa hiyo ya juu.
My Take
Naelewa tatizo sio lugha ila ni kufikiria mambo katika mlengo wa njaa. Yaani inaanza njaa baadae ndio unafikiria.
Dauda...
Siasa za Tanzania zina mambo ya ajabu sana, kwenye mpira zinafanya nini? FIFA ina vyombo vidogodogo kama TFF, ile ya Afrika sijui inaitwa nini, kwa nini viongozi wa siasa wana nafasi kwenye mpira...
Hatuwezi kuwa tunawasakama wanasiasa kwa kufanya madudu serikalini wakati kuna kada nyingine inafanya mambo ya hovyo. Kila wiki naanzisha nyuzi za ubovu wa waamuzi kila baada ya mechi ya NBC PL...
Ligi yetu inaendeshwa kisiasa kama zilivyo siasa zenyewe.
Usitegemee kuiona Yanga ikishika tofauti na namba 1 kwenye ligi ya hapa kivyovyote hadi pale system ya nchi itakapobadilika.
Wapinzani...
Kama ulifurahia kukataliwa kwa goli la Mayele katika mechi ya mwisho ya NBC Premier League ya msimu wa 2021/22 (lililomkosesha tuzo ya ufugaji bora) na ukaja ukafurahia goli la Simba dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.