Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu Kuna video nimeiona(,Nimeshindwa kuilandisha Hapa) Wakati wakifanya mazoezi kabla ya kucheza na Makolo. Kimsingi Nimewadharau bure! Walikuwa Kwenye mashindano ya kimataifa kwa nn hiyo...
1 Reactions
7 Replies
482 Views
Kwa mara ya kwanza katika misimu miwili ya NBC inayofuatana, timu ya mpira wa miguu ya wanaume ya Yanga inaenda kupoteza alama tatu kama siyo mbili muhimu kwa timu ya dhahabu ya Geita. Ni hayo...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Tafadhali hebu acheni kutupotezea muda na kutudanganya watu tunaoujua vyema mpira wa Tanzania (Bongo) na hizi kauli zenu za kimatumaini, kuwa kesho (Jumamosi) mtaifunga Yanga SC katika mechi yenu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Klabu ya Simba leo Oktoba 28, 2022 imeingia mkataba wa miaka miwili wa Bima ya Afya na kampuni ya Mo Assurance ya Jijini Dar es Salaam. Mkataba huo uliosainiwa una thamani ya sh 250 milioni kwa...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari za asubuhi, Kama nilivyoleta uzi wangu jana kusema Simba ina kikosi cha kawaida kulinganisha na Azam, hilo halina ubishi na siyo Simba tu ni hata Yanga pia. Je, unafahamu toka Simba na...
2 Reactions
61 Replies
2K Views
Moja ya watu wenye uchu mbaya wa pesa kupitia vilabu vikubwa ni huyu mtu anaitwa Dauda. Ni mmoja wa virusi vikali sana anayetafuta kwa njia zote za fitna kupata fursa pale Klub ya Simba ili apige...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
MANCHESTER United inaamini kwamba itasepa na saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund bila wasi msimu ujao kwa mbinu kali. United kwa muda mrefu imekuwa ikiripotiwa kwamba inahitaji saini ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Haina salamu. Hasira zote zikushukie mchezaji usieleweka unacheza namba gani uwanjani, Erasto Nyoni. Hivi unashindwa nini kuiga mfano wa beki Aggrey Morris aliyeamua kutundika daluga? Yaani sasa...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni. Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea. Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
1 Reactions
13 Replies
700 Views
Tumeshawachoka sasa, yaani kila Simba SC ikifanya vibaya (ikifungwa) ili kutuzuga wapenzi (mashabiki) haraka sana kesho yake (kama hii leo) mnakuja na Press Conference (Mkutano na Waandishi wa...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa sasa mna timu ya kawaida sana, Tshabalala, Kapombe, Bocco, Nyoni na Mkude siyo wa miaka minne nyuma, Chama aliyerudi kutoka Morocco siyo yule alieondoka, pengo la Muqquison bado halijazibwa...
4 Reactions
17 Replies
791 Views
  • Redirect
Club ya Simba SC leo kupitia CEO wao Barbara Gonzalez imetangaza kuingia mkataba wa udhamini wa miaka miwili na kampuni ya bima ya MO Assurance chini ya usimamizi wa @fatemagdewji ambapo...
0 Reactions
Replies
Views
Haya pimeni wenyewe huyo babu wakati yupo kijana na wenzake vijana walikuwa hawa kikosini Simba...
10 Reactions
73 Replies
5K Views
Alaumiwe Mgunda na sub zake za ovyo na kikosi. Ndani ya uwanja floppers wa kutisha ni Nyoni, Boko kama kawa, yule Kyombo sijui ni kitete yaani fowards za kibongo huwa hazitulii kabisaaa mbele ya...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Wakuu Simba ni brand, siyo kikundi cha wahuni, na kila kilichopo Simba ni mali ya umma (wanachama). Hivyo kumpatia mtu hisa asilimia 49 kinyemela ni sawa na uhalifu. Tume ya ushindani unapaswa...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Mshambuliaji huyo wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Brazil alikuwa akikabiliwa na mashtaka hayo yaliyohusu usajili wake mwaka 2013 kutoka Santos kuhamia Barcelona akidaiwa usajili huo...
0 Reactions
1 Replies
666 Views
Mara baada ya mechi kocha alihojiwa juu ya ushindi ule hapa DSM dhidi ya Primiero De Agosto. Mtangazaji: Vipi matokeo ya leo unayaelezea vipi? Mgunda: Nawashukuru wachezaji wakongwe kikosini...
7 Reactions
8 Replies
725 Views
1. Azam ni timu nzuri, siyo timu ya kuilalamika sana ikikufunga. 2. Mgunda bado anatafuta chemistry ya timu, apewe muda.
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Wengine inawezekana mmeanza kujua mpira baada ya uwanja wa Mkapa kujengwa. Ngoja leo niwape story moja. Wakati tunatumia uwanja ambao leo unaitwa wa Uhuru, uwanja ulikuwa katika hali mbaya sana...
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Back
Top Bottom